Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Kwa kawaida kujipendeka mtu humfanyia ihsani mtu ampendae mfano wema akimfanyia ihsani mama chibu waweza kusema anajipendekeza ili mama chibu amseme wema kwa chibu kuwa kuna na, wema atakufaa na sio kwa babayake mtu ambae sikuzote huonekana kama hatakiwi hivi alafu mtu akajipendekezesizani kama kutakua na mafanikio au nawe unapenda kusikia baba chibu akiteseka?
Wema alifiwa na baba yake anaujua uchungu wa kufuwa na baba. All in all wanaume wenyw tabia km za baba Diamond kutelejeza watoto waache. Wema tenda wena uende zako usingije shukurani.
 
Anazungumzia upande wake au usio wake! Hakuna haja ya mtu kuchangia 20m mahali huku Baba yake anaugua, hata Kama anafanya kosa gani, Baba Ni Baba tu na wengi.
Mkuu ukibahatika kulelewa na wazazi wote wawili hii kauli ya baba ni baba unaitoa kwa moyo mmoja si kama mtu ambae amelelewa na mama. Of course unatakiwa umsaidie though ile feeling nae unakuwa huna kabisa unless awe aliingia mitini mkaja mkakutana ukubwani na Si kama kamanda huyo ambae watoto wake walikuwa wanakwenda kwake but no ushirikiano pia na mama wa huyo mdingi anawanyanyapaa, nadhani hiyo issue inakuzwa na vyombo vya habari sidhani kama dogo hapeleki chochote kwani sisi observer tunataka tumwone akiambatana na mdingi pia (kitu ambacho kigumu maana mtoto akilelewa hata kama na shangazi atamsaidia mzazi wake lakini atakuwa close sana na shangazi yake kwa kuwa amemzoea yaani atakwenda kwa wazazi alafu huyo anasepa kule alikokulia)
 
Baadhi ya Wanawake wanajua sana mchezo wa kuwatenganisha baba na watoto! !
Sijui wanapata faida gani zaidi ya kudhirisha roho zao mbaya!!
.....Mie nafahamu, hakuna laana mbaya kama ya Baba....japo wengi hawafahamu hili!
 
Suala la Wema kumsaidia huyo Mzee ni la kuungwa mikono yote,ni jambo jema.
Hebu tuache basi negativity jamani!
Go Wema,tenda Wema uende zako wala usitake kutake advantage katika hili zaidi ya kutoa msaada.
Period
 
Baba atabaki kuwa baba nakumbuka Q chilla aliwahi kumkana baba yake kwa issue kama hii, sioni vby kwa wema au mtu yoyote kumsaidia huyu mzee haijalishi kuna wangapi wanahitaji msaada sababu hata mungu humpa riziki amtakae na riziki ya mtu hupitia mikononi kwa mtu
 
Uandishi wako kidogo unanipa shida..hii ishu zipo tu mbona mimi natembelea sana mahospitali Magereza na hata vituo vya wazee na watoto yatima
Fanya ziara siku moja ukajionee ya huko kama ukirudi hapa hutatamani kumnasa vibao huyo mzee
Hapo kwenye kutamani kumnasa vibao mzee ,, umefika mbali mkuu.
 
Hii familia bhana Diamond akihojiwa huwa anajibu kivingine na huku upande wa Baba kuna majibu tofauti hii familia nimesha iyona ni ya kisanii na inaendeshwa kisanii
 
Hizi ni family issues zina mizizi na mlolongo wa matukio tusishadadie tusiyoyajua tusiwe na upande bali matukio kama haya yatupe nafasi ya kujifunza na kujitafakari
Kwel mshana mibaba mingine inajua kufyatua tu.....akishaweka anasepaaa hajui Kama mtoto kazaliwa....wanaishijeeeeeee!!
Af mtt akipata mafanikioo ndo anajitokeza na maneno meeengiiiii na kutishia laana!!
Wababa muwe mnajitafakar kabla ya kujishaua kwenye vyombo vya habar
I hate nikisikia ''baba n baba" au "mama n mama"
 
Kwani Diamond ni mtoto pekee wa huyo baba?
Pia huyo baba hana ndugu wa pande zote mbili wakamsaidia?
Na anaumwa nini hasaa kikubwa mno mpaka kila siku story iwe yeye tu.

Mwambieni Wema na yeye aache ufukunyuku, kama ana huruma sana ajenge kituo cha kusaidia maskini ajipatie thawabu za uhakika, asijishebedue kuingia kwenye familia za watu hali ya kua yeye mwenyewe yake yanamshinda.
 
Mwisho wa diamond hapa duniani utashangaza kila mtu nawambia...! Kujidai baba ake hakuwa mchango ni laana kubwa, kitendo cha yule mzee kumlala mama yake mpaka akapatikana kinatosha kumtia laana kwa kutoheshimiwa au kujaliwa.
 
Back
Top Bottom