hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Lkn ukumbuke kuwa bado kuna hatua mbele yako kweni waweza kuwa mwema kwa hatua ndefu sana lkn sekunde moja yaweza kuwa hatari na wema wako wote ukapotea wasikie tu hawa watu wanaitwa wanawake lkn nikuombee amani ktk safari yako is maishaHili ni dogo kweli kwangu lakini linakuzwa na wenye maslahi binafsi na agenda zao! Kati ya wagonjwa tunaowajua huyo hastahili kuitwa mgonjwa(labda wa kupenda kuongea family issues kwenye media)
Halafu umri umeenda jamaa ana tattoo kwenye mkono wake wa kulia, cheki picha ya kwanza hapo juu!Mimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana aelewani na mtoto wake - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zao - haya mambo ya kukimbilia wana habari, kupiga piga picha kumlalamikia mwanae anafikiri kutamsaidia nini - si ndiyo kutawafanya Diamond na mama yake kukasirika zaidi?
Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri Baba yake kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.
Aaaamen nawe piaLkn ukumbuke kuwa bado kuna hatua mbele yako kweni waweza kuwa mwema kwa hatua ndefu sana lkn sekunde moja yaweza kuwa hatari na wema wako wote ukapotea wasikie tu hawa watu wanaitwa wanawake lkn nikuombee amani ktk safari yako is maisha
Tenda wema kwa nafasi ya kwako na wala usitizame pembeni mwako pana nani, ikiwa wewe shingo yako ni kakamavu basi enenda zako wala usitizame nyuma.Kwani Diamond ni mtoto pekee wa huyo baba?
Pia huyo baba hana ndugu wa pande zote mbili wakamsaidia?
Na anaumwa nini hasaa kikubwa mno mpaka kila siku story iwe yeye tu.
Mwambieni Wema na yeye aache ufukunyuku, kama ana huruma sana ajenge kituo cha kusaidia maskini ajipatie thawabu za uhakika, asijishebedue kuingia kwenye familia za watu hali ya kua yeye mwenyewe yake yanamshinda.
Tenda wema kwa nafasi ya kwako na wala usitizame pembeni mwako pana nani, ikiwa wewe shingo yako ni kakamavu basi enenda zako wala usitizame nyuma.Kwani Diamond ni mtoto pekee wa huyo baba?
Pia huyo baba hana ndugu wa pande zote mbili wakamsaidia?
Na anaumwa nini hasaa kikubwa mno mpaka kila siku story iwe yeye tu.
Mwambieni Wema na yeye aache ufukunyuku, kama ana huruma sana ajenge kituo cha kusaidia maskini ajipatie thawabu za uhakika, asijishebedue kuingia kwenye familia za watu hali ya kua yeye mwenyewe yake yanamshinda.
Sawa dada Wema, endelea kutenda Wema na Wema na Wema na WemaaaaaaaaTenda wema kwa nafasi ya kwako na wala usitizame pembeni mwako pana nani, ikiwa wewe shingo yako ni kakamavu basi enenda zako wala usitizame nyuma.
Yaani wabongo sijui Kama tutaendelea kwa staili hii, wema sawa Ana Tania zake ambazo haziipendez jamii lakin kwenye lakini katika wasanii wenye roho nzuri na ya kusaidia ni wema sepetu hilo liko wazi,Kujipendekeza pendekeza tu kwa chibu
*Rahana=Laana.Mwisho wa diamond hapa duniani utashangaza kila mtu nawambia...! Kujidai baba ake hakuwa mchango ni laana kubwa, kitendo cha yule mzee kumlala mama yake mpaka akapatikana kinatosha kumtia rahana kwa kutoheshimiwa au kujaliwa.
upande huo ni mara chaaaaaaache sana inatokea na pia mara nyingi chanzo ni mwanaume mkomeMsiangalie upande mmoja je kama mke wako anakuacha sababu una pesa anafanya umalaya Ana kuzarau na kukutenganisha na watoto wako
Kweli kabisa mkuu Kama mzazi alikosea na akakuomba msamaha usipomsamehe wewe ndo dhambi zitabaki kwako halaf pia ni aibu kwa MTU Kama diamond lkn inaonyesha yule Sandra ndo anaemshawish mwanae maana diamond kwa mamake hapingi kituAnazungumzia upande wake au usio wake! Hakuna haja ya mtu kuchangia 20m mahali huku Baba yake anaugua, hata Kama anafanya kosa gani, Baba Ni Baba tu na wengi.
Atazalilika kivipi?Ni jambo zuri sana wema, Ila naona diamond atazalilika kwenye jamii maana anauwezo pia wa kumsaidia baba yake
We ndo uwezo wako wa kutafakari umeishia hapo? PoleWema anaitaka saa ya almasi, zari anaujali muda
Huwa nikiwaona mama zetu wanavohangaika na biashara ya kutembeza matunda, wengine wakiwa na watoto wachanga mgongoni... Jua kali... Matunda ambayo hata ukiyanunua yote haya cost Tsh 10000... Halafu lbd mme yupo na anauwezo,... Acha yawe ya ngoswe... Hakuna namna.Ya Ngoswe aachiwe Ngoswe
Ni jambo zuri lakin Diamond mi naona ni msimamo wa kijinga alio nao baba ni baba tu hata kama alifanya nn ni baba tu na siku akifa ndo utakapo jua kuwa alikuwa na umuhimu gani hv kweli unamiliki billions of money unashindwa kumsaidia baba ako Mzazi Mzazi kweli hata kama kakukataa au kukufanyia vitu vbaya Hebu tutazame macho yetu juu kuna Mungu jamaan mbona hzi.Inaniuma sana coz nampenda baba .