Kabisaa yawe ya Ngoswe koz hatujui aliyoyapitia Diamond mpaka kufanya hayo anayoyeswa anafanya kwa baba yake. Kiatu cha mtu kukivaa ni ngumu kukutoshaHuwa nikiwaona mama zetu wanavohangaika na biashara ya kutembeza matunda, wengine wakiwa na watoto wachanga mgongoni... Jua kali... Matunda ambayo hata ukiyanunua yote haya cost Tsh 10000... Halafu lbd mme yupo na anauwezo,... Acha yawe ya ngoswe... Hakuna namna.
Kaa kimyaaa!!!ndo muache kutelekeza watoto!Lakin jaman ttzo letu ushabiki ndo unatuathiri sisi hv ni jambo gani akufanyie mzazi wako usindwe kumsamehe ? Kumbuka the matter is Your parent. No otherwise. mtu una miliki Tsh billion 8 yaan million 8000 ukitoa 50 ukampa baba ako then kama ni cool ukawa kulu na maisha yako huon kuwa ni kheri. jaman mi mkristo ndgu zangu waislamu tafadhal kuruani takatifu inasemaje kuhusu hili.
kama bin laden ana pesa amsaidie baba ake.matusi kwa maana ya kumdhalilisha diamond maana kwa pesa alizonazo hashindwi kumtibu mzee wake hvyo wema anamfundisha kusamehe haswa pindi wakati wa shida mzazi ni mzazi tu msaidie kama unavyosaidia wengine na kusamehe pia
Wema ana sifa ndio tena za kijinga anasaidia watu maarufu tu[emoji57] [emoji57]hizo pesa si akatoe sadaka kwa wayatima!!
Baadhi ya Wanawake wanajua sana mchezo wa kuwatenganisha baba na watoto! !
Sijui wanapata faida gani zaidi ya kudhirisha roho zao mbaya!!
.....Mie nafahamu, hakuna laana mbaya kama ya Baba....japo wengi hawafahamu hili!
hana adabu kabisa yeye na wanaume woote wanaotelekeza watoto....Ati laana ya baba Ni mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii mpya hebu jaribu kutafuta laana ya mama Halafu urudi hapa
Wanaume wanatia aibu kukimbia watoto zenu ujanani huwa mnajiona wajanja kweli ikiisha fika miaka 48-50 na huko mbele mbio zinaisha Wanalazimisha kufuta yote waliyoyafanya kwenye kutimua mbio wanataka iwe Kama hakijatokea kitu kikubwa hivyo mambo yaishe tu,
Msiongee Sisi wanawake tunajua kuwatenganisha baada ya nyie wanaume kusisitiza utenganisho huo kwanza. Nguvu zikiwaisha uzeeni mwendeni mkawafuate wale watoto mliowalea mtuache na watoto mliojitenga nao Kwa kauli zenu , vitendo vyenu na haja za mioyo yenu.
Baba Diamond anawatia aibu wanaume wote wanaofanana nae. Shame on you [emoji23][emoji23]
hahahaha hana lolote huyu mzee magumashi naona anataka anunuliwe ferrarri anamuonea sandra wivu hahahahahahMzee na matatoo ....wazee wa Mujini.....Mwanaume kuhangaika daima sio kulialia kisa mtoto mambo poa...
[HASHTAG]#WABABA[/HASHTAG] WA DASLAM HAWA#
Hizi ni family issues zina mizizi na mlolongo wa matukio tusishadadie tusiyoyajua tusiwe na upande bali matukio kama haya yatupe nafasi ya kujifunza na kujitafakari
Baba Diamond, pole . Kufanya mashambulizi ya mwanao kwenye media haikusaidii. Tafakari ulikosea wapi badala ya kutaka huruma ya public usiyostahili. Kihekima rudi kimyakimya kwa mzazi mwenzio na mwanao myamalize, nyinyi ndio mnamajibu sahihi. Ushauri kwa wengine wanaosema baba ni baba, HAPANA! Siku hizi vijana mmekuwa mkiwadanganya binti zetu nitakuoa ukila tunda unamwambia binti wa watu msijuane! Fikiria kahangaikaaa na mwanawe ikifika saa kumi na mbili jioni umekwama ndio unasema baba ni baba, aibu kwako! hata mbwa anathamani kuliko baba wa hivyo.Kivipi yani?