Mwisho wa diamond hapa duniani utashangaza kila mtu nawambia...! Kujidai baba ake hakuwa mchango ni laana kubwa, kitendo cha yule mzee kumlala mama yake mpaka akapatikana kinatosha kumtia laana kwa kutoheshimiwa au kujaliwa.
Ni ujinga upi tena inamaana mtu akikosa msaada kwako ndio baasi asitokee mtu mwingini akamsaidia ndio unakua mjinga? Hapana kiongozi tujifunze kuhurumiana
Ni sahihi nakubaliana nawe ktk hiliIngekuwa vyema zaidi kama wema angetoa msaada huo kimya kimya tu.
Nimeipenda hii sentensi heheeWema anaitaka saa ya almasi, zari anaujali muda
Hivi nani aliwaambia huyo ni babake diamond!!?babaake diamond anakaa ngaramtoni Arusha na sio huyu wa dar ukitaka details zaidi ni pm.
M nafikiri diamond ameshamsamehe baba yake ila hawezi kua naye karibu saana kama mama yake,na nahisi huyu mzee anataka kwa nguvu zoote na yeye aonekanw kwenye instagram akiwa amepoz na familia wako paris kitu ambacho hakiwezekani!
Hahaahaaha na ndio lengo lake yule mzee akaogelee kweny swimming pool na wakina harmonize hahaaBabu na yeye anataka afanyiwe birthday party Madale.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaahaaha na ndio lengo lake yule mzee akaogelee kweny swimming pool na wakina harmonize hahaa
Nacheza miguu yote ladyfurahiadaudi umetoka liini kule kwenye siasa na kukimbilia huku hahahaahaaa jokes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaah
Yaani nimecheka mpaka nimefukuza mwizi maana alijua nimelala
Hahahahahaha jf raha eee hehehe huyo mwizi wa mapema hii atakua mdokozi huyo heehehe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaah
Yaani nimecheka mpaka nimefukuza mwizi maana alijua nimelala
[emoji3] [emoji3] [emoji3] jf kwa kweli rahaHahahahahaha jf raha eee hehehe huyo mwizi wa mapema hii atakua mdokozi huyo heehehe
Well said na kama huyu mzee akisaidiwa na wema, sizani kama atauona Tena Msada wa Diamond.Mimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana aelewani na mtoto wake - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zao - haya mambo ya kukimbilia wana habari, kupiga piga picha kumlalamikia mwanae anafikiri kutamsaidia nini - si ndiyo kutawafanya Diamond na mama yake kukasirika zaidi?
Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri Baba yake kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.
Wema anafikiri kujipendekeza huku kutamfanya Diamond amrudie. Kwanza I suspect if this is true kwamba anataka kumlipia huyu mzee matibabu there is huge chance Diamond atammind kishenzi. Anatoka wapi kujiingiza kwenye mambo ya familia za watu? Kumdate Diamond Huko nyuma ndio kumemfanya king'ang'anizi? Wema ni kilaza sana. Kama Haya yote ni ili Diamond amrudie basi she is doing it the wrong way and will no doubt infuriorate Diamond. Ana hangaika huyu msichana sijui Diamond alimpaga nini... Strange maana yeye ndio alimdump Diamond.M nafikiri diamond ameshamsamehe baba yake ila hawezi kua naye karibu saana kama mama yake,na nahisi huyu mzee anataka kwa nguvu zoote na yeye aonekanw kwenye instagram akiwa amepoz na familia wako pariskitu ambacho hakiwezekani!sasa huy mzee anatumia nguvu sana ili aonekane anateseka ila imeshakula kwake
Sas huyu mama kisebengo wema sepetu huyu anatafuta namna yoyte aendelee kusemwa na magazet pamoja watu!
Na kutafuta kikiKujipendekeza pendekeza tu kwa chibu
Well said na kama huyu mzee akisaidiwa na wema, sizani kama atauona Tena Msada wa Diamond.