Mwisho wa diamond hapa duniani utashangaza kila mtu nawambia...! Kujidai baba ake hakuwa mchango ni laana kubwa, kitendo cha yule mzee kumlala mama yake mpaka akapatikana kinatosha kumtia laana kwa kutoheshimiwa au kujaliwa.
starehe zake mwenyewe na laana apate mtoto!???......kukwepa majukumu na kutishia laana niUPUMBAVU WA KIWAGO CHA OLIMPIKI!
BTW:Biblia inasema 'kadhalika LAANA ISIO SABABU HAIMPATI MTU".
ni lazima kuwe na sababu legit ili mtu apate laana.msimtishe domo na kama hujawah lelewa na mzazi mmoja huwezi mambo haya.ni family issues so ni busara tukachunga namna tunavyoongelea mambo yao...