Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Mwisho wa diamond hapa duniani utashangaza kila mtu nawambia...! Kujidai baba ake hakuwa mchango ni laana kubwa, kitendo cha yule mzee kumlala mama yake mpaka akapatikana kinatosha kumtia laana kwa kutoheshimiwa au kujaliwa.

starehe zake mwenyewe na laana apate mtoto!???......kukwepa majukumu na kutishia laana niUPUMBAVU WA KIWAGO CHA OLIMPIKI!
BTW:Biblia inasema 'kadhalika LAANA ISIO SABABU HAIMPATI MTU".
ni lazima kuwe na sababu legit ili mtu apate laana.msimtishe domo na kama hujawah lelewa na mzazi mmoja huwezi mambo haya.ni family issues so ni busara tukachunga namna tunavyoongelea mambo yao...
 
M nafikiri diamond ameshamsamehe baba yake ila hawezi kua naye karibu saana kama mama yake,na nahisi huyu mzee anataka kwa nguvu zoote na yeye aonekanw kwenye instagram akiwa amepoz na familia wako pariskitu ambacho hakiwezekani!sasa huy mzee anatumia nguvu sana ili aonekane anateseka ila imeshakula kwake
Sas huyu mama kisebengo wema sepetu huyu anatafuta namna yoyte aendelee kusemwa na magazet pamoja watu!
 
Hahahahahaha jf raha eee hehehe huyo mwizi wa mapema hii atakua mdokozi huyo heehehe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] jf kwa kweli raha
Sjapata picha uliwaza nini hadi kuandika vile.
Huyu alijua nishalala hapa kicheko tuu kime mtoa nduki
 
Mimi nafikiri Baba yake Diamond ni mtata sana, labda ndio maana aelewani na mtoto wake - kama mzazi kwa nini atafuti njia ya kistaarabu ya kumaliza tofauti zao - haya mambo ya kukimbilia wana habari, kupiga piga picha kumlalamikia mwanae anafikiri kutamsaidia nini - si ndiyo kutawafanya Diamond na mama yake kukasirika zaidi?

Yeye anazungumzia upande wake tuu - mbona watu/waandishi awaendi kwa Diamond na mama yake wakasikia wana malalamiko gani kuhusu mzee huyo - siyo vizuri Baba yake kila siku kutafuta sababu za kumdhalilisha mwanae.
Well said na kama huyu mzee akisaidiwa na wema, sizani kama atauona Tena Msada wa Diamond.
 
M nafikiri diamond ameshamsamehe baba yake ila hawezi kua naye karibu saana kama mama yake,na nahisi huyu mzee anataka kwa nguvu zoote na yeye aonekanw kwenye instagram akiwa amepoz na familia wako pariskitu ambacho hakiwezekani!sasa huy mzee anatumia nguvu sana ili aonekane anateseka ila imeshakula kwake
Sas huyu mama kisebengo wema sepetu huyu anatafuta namna yoyte aendelee kusemwa na magazet pamoja watu!
Wema anafikiri kujipendekeza huku kutamfanya Diamond amrudie. Kwanza I suspect if this is true kwamba anataka kumlipia huyu mzee matibabu there is huge chance Diamond atammind kishenzi. Anatoka wapi kujiingiza kwenye mambo ya familia za watu? Kumdate Diamond Huko nyuma ndio kumemfanya king'ang'anizi? Wema ni kilaza sana. Kama Haya yote ni ili Diamond amrudie basi she is doing it the wrong way and will no doubt infuriorate Diamond. Ana hangaika huyu msichana sijui Diamond alimpaga nini... Strange maana yeye ndio alimdump Diamond.
 
Well said na kama huyu mzee akisaidiwa na wema, sizani kama atauona Tena Msada wa Diamond.

Well said, actually biblia usema mkono wa kulia ukitoa msaada basi mkono wa kushoto hakuna haja ya kujua kilicho endelea/tokea - binafsi naona Wema anacho tafuta ni publicity stunt tu, angeweza kutoa msaada kimya kimya - sina shaka Wema anataka kumtumia huyo mzee jwa kengo maalumu siyo kumsaidia per se - na hii itakula kwake sijui kama Nasib/Diamond atakuja kuelewana tena na huyo Wema, yeye kama GF wa zamani wa Diamond sina shaka alielezwa kiundani matatizo baina ya Diamond na Baba yake mzazi - alafu yeye tena badala ya kusaidia kusuruhisha baina ya watu hawa wawili ambao anawajua kwa karibu anaedelea kupalilia mkaa - akili gani hizi
 
Back
Top Bottom