Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Halijakukuta wewe,kutelekezwa na kukanwa inauma sana huyo mzee alikosa sanaa na kamwe asitafute huruma za watu,mm nna brother wa mamdogo babaake alimkana mpaka sasa anaumia pamoja na utu uzima wake huyo mzee ni jipu apite hiviKunatatzo la kimaadili kubwa kwa dimond, mm si muumin wa mziki ila nmekuwa nakutana na hii scandal ya mtt na baba, kimsingi hata kama baba alikosea vip akakukana akakuacha ukatesek Kwa kila namna bado Baba ataendelea kuwa baba tu
Kunaumhi mkubwa wa hyo dogo kupewa ushauli wa kisaikolojia, haiwezekani uwe na chuki kiasi hicho, halafu et uwasaidie watu wengine
Liko andiko ktk biblia linasema asie wajari wa kwao ni mbaya kuliko asieamini...