Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Wema: Nitalipa pesa matibabu ya baba Diamond

Kunatatzo la kimaadili kubwa kwa dimond, mm si muumin wa mziki ila nmekuwa nakutana na hii scandal ya mtt na baba, kimsingi hata kama baba alikosea vip akakukana akakuacha ukatesek Kwa kila namna bado Baba ataendelea kuwa baba tu

Kunaumhi mkubwa wa hyo dogo kupewa ushauli wa kisaikolojia, haiwezekani uwe na chuki kiasi hicho, halafu et uwasaidie watu wengine
Liko andiko ktk biblia linasema asie wajari wa kwao ni mbaya kuliko asieamini...
Halijakukuta wewe,kutelekezwa na kukanwa inauma sana huyo mzee alikosa sanaa na kamwe asitafute huruma za watu,mm nna brother wa mamdogo babaake alimkana mpaka sasa anaumia pamoja na utu uzima wake huyo mzee ni jipu apite hivi
 
Mzee mwenyewe anaonekana mtoto wa mjin so sintoshangaa hiyo movie yake na wema ikitoka ila wawe makin inaweza icwalipe,huyu dada kakutana na mwendokasi mwenzie,yaan anataka kutuambia hajawaona wale watoto ombaomba wa Moroco au hata.yatima akawasaidia anaona tu huyu mzee kijana hapo mmebugi na mm nlivo na roho mbaya nasema Diamond wee ngoja hiyo series ununue copy ila potezea mbal wapite hiviiii
 
Huyu wema mm naona angeacha haya nimambo ya kifamilia zaid maana kama baba wa daimond kuumwa hajaanza leo kwa nn yeye wema kipind yupo na diamond hakumshawish mond wakamaliza tofaut zao na baba ake leo hii imepita miaka mingap kaachwaa ndio anataka aje atoe msaada kifup sijamuelewa
 
Halijakukuta wewe,kutelekezwa na kukanwa inauma sana huyo mzee alikosa sanaa na kamwe asitafute huruma za watu,mm nna brother wa mamdogo babaake alimkana mpaka sasa anaumia pamoja na utu uzima wake huyo mzee ni jipu apite hivi
Hutuzungumzii kuuma, tunazungumzia maadili, mzazi huwa hakosei hata siku 1 kinachokufanya umwite baba ndicho hcho kitakacho kufanya usiache kumdharau....

Jifunze kidogo kuhusiana na Mungu na maadili, nikupe mfano rahisi kunawatu wanatafuta Watt mpaka kwa waganga, na hali kadharika kunawatu wanatafuta wazaz wao walao tu wawaone,

Nikwambie hyo dogo angekuwa hajaoneshwa baba yake angekuwa anasumbuka balaaa, kila siku yangekuwa matangazo,

Au hujui yule mtu maarufu usa aliyefukua kabuli la baba yake na kupima dna na alipogundua kuwa kwel ni baba yake aliweka msiba mkubwa?

Mzigo wa hyo dogo ni sum za kijinga ambazo hazitamsaidia na zimeenezwa na may b na mama yake, jambo ambalo dogo hakupaswa kulibeba, nakwambia weka kumbukumbu ikiwa dogo ataendelea hvyo mwisho wake si mzr...

Think
 
Wema anafikiri kujipendekeza huku kutamfanya Diamond amrudie. Kwanza I suspect if this is true kwamba anataka kumlipia huyu mzee matibabu there is huge chance Diamond atammind kishenzi. Anatoka wapi kujiingiza kwenye mambo ya familia za watu? Kumdate Diamond Huko nyuma ndio kumemfanya king'ang'anizi? Wema ni ****** sana. Kama Haya yote ni ili Diamond amrudie basi she is doing it the wrong way and will no doubt infuriorate Diamond. Ana hangaika huyu msichana sijui Diamond alimpaga nini... Strange maana yeye ndio alimdump Diamond.
Itakua naye anatamani aonje utamu wa madale hehehehe too late
 
Source ya Hii habari ni nini? Diamond kaongea Mengi sana kuhusu Baba ake na kasema kuwa Media zinamtumia vibayaaa kwa njaa njaa zake anamua kukaa kupigwa picha alipwe kidogo

Swali la kujiuliza ni Kuwa Baba wa Diamond hana Mtoto Mmoja

1.Je queen Darling nae hamuonei huruma Baba yake kama kweli anaumwa na ana matatizo hayoo? Je roho ya Diamond ni sawa na Ya queen Darling?

2.Inamaana Hata Rommy Jones ndugu yake nae lao Moja na Diamond hata hawamshauri au?

3.Akina Halima Kimwana kuwa naye hana huruma kabisa na hayo mateso anayo daiwa baba ake Diamond anapitia?

4.Esma nae haoni huruma??

Kuna vitu vingi vya kujiuliza kuhusu huyuu Mzee.....skendo zake ipo siku zitachuja na watu wataona za kawaida na hayo magazeti hayata uzaaaaaa.......atleast angekuwa anapumzika kudanganya!!!!

Diamond kila siku akiulizwa anasema juzi tuu kamapa pesa kwanini huyo mzee asitoke kuja kusema sijapewa? Yeye kila siku anaumwaaa ugonjwa gani huo anao umwaa ujulikane na vyeti vya hospitalini watu wamsaidie kabisaaas
 
Ni jambo zuri sana wema, Ila naona diamond atazalilika kwenye jamii maana anauwezo pia wa kumsaidia baba yake
Family matters sio cha kuangalia upande mmoja. Huenda kuna sababu ya msingi ya diamond kuto mhudumia baba ake sio kirahisi ivo unavo judge.
 
Huwa nikiwaona mama zetu wanavohangaika na biashara ya kutembeza matunda, wengine wakiwa na watoto wachanga mgongoni... Jua kali... Matunda ambayo hata ukiyanunua yote haya cost Tsh 10000... Halafu lbd mme yupo na anauwezo,... Acha yawe ya ngoswe... Hakuna namna.
Aisee kweli unakuta mwanamke na kitoto kidogo mgongoni mvua yake jua lake alafu mtu anasema usikilizwe upande wa pili kivip? Kuna mwanamke ambae atapewa matumizi ya mtoto akatae? Huwa namshangaa mtu anakazana kusema upande wa pili.
 
Jinga tu, kutafuta kiki kupitia Diamond.
Kama vile Diamond na hara yule Queen hawamjali baba yao. Mfyuuu zake

Arusha kumegoma inaonekana, hawataki kacha lililochoka.
Kwani huyo mzee kama akitibiwa kuna ubaya gani!!?
 
Wema anafikiri kujipendekeza huku kutamfanya Diamond amrudie. Kwanza I suspect if this is true kwamba anataka kumlipia huyu mzee matibabu there is huge chance Diamond atammind kishenzi. Anatoka wapi kujiingiza kwenye mambo ya familia za watu? Kumdate Diamond Huko nyuma ndio kumemfanya king'ang'anizi? Wema ni ****** sana. Kama Haya yote ni ili Diamond amrudie basi she is doing it the wrong way and will no doubt infuriorate Diamond. Ana hangaika huyu msichana sijui Diamond alimpaga nini... Strange maana yeye ndio alimdump Diamond.
Kwa hiyo ndugu, wema kutoa matibabu ya mzee ili apone ni vibaya!!?, yaani mtu akiwa ana matatizo ya kifamilia ndi asisaidiwe!!, hebu tumpongeze wema kafanya vzuri ni jambo la kibinadamu kabisa
 
Alieleza kwa kirefu sana chibu kuhusiana na hii makitu hii, (kuwa baba ni kazi ya ziada), sio kusababisha tu kupatikana kwa mtoto
Mpuuzi tu yule..
Mwanaume ad kukmbia mtoto sio jambo la utani,anakua ashapga hesab chech n balance anaona bora abak na mamake kuliko kua na yy au wote mara nyng kwa 7b za maisha...
Mtt yyte lzma asamehe ishu km hii hta km imemuumiza vp...
Toto jingajinga lny mawazo ya kipuuz ndo atamkomoa babake milele...
Baba n baba...wengne wanaomba hta wa baba kusingziwa..
Pathetic domo[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
hivi huyu Wema ana hata kiwanja? anamwaga hela kwa masuper star bila hata kufikiria badala afanye kitu cha maana misifa imemjaa! babake diamond yeye inamhusu nini? hapo sasa ni kuingilia familia ya watu. katika familia yake hakuna mtu anayehitaji msaada kweli? i
 
hivi huyu Wema ana hata kiwanja? anamwaga hela kwa masuper star bila hata kufikiria badala afanye kitu cha maana misifa imemjaa! babake diamond yeye inamhusu nini? hapo sasa ni kuingilia familia ya watu. katika familia yake hakuna mtu anayehitaji msaada kweli? i
Wema ana kitu kinaitwa shobo dundo
In nutshell Wema uache kujipendekeza kwa Dangote hakutaki, mbona mjomba wako anaumwa humtibu...mxiuuuuuuuu
 
Anazungumzia upande wake au usio wake! Hakuna haja ya mtu kuchangia 20m mahali huku Baba yake anaugua, hata Kama anafanya kosa gani, Baba Ni Baba tu na wengi.
Pesa makaratasi tu, je akifa ataenda msibani?
 
Wazazi tuwe tunajifunza kutokana na makosa ya wenzetu. Midingi mingine inaboaaaa mpaka Watoto wakikua hawataki hata kusikia majina yao. Huyu dingi ni vzr kuangalia usawa mwingine as anajidharirisha. Kama mwanae hamtaki ujue alimuumiza pakubwa.

Nitawatendea vyema wanangu mpaka kufa kwangu
 
Back
Top Bottom