Wema, Sasa tunaanza kupata picha kuhusu Diamond..

Wema, Sasa tunaanza kupata picha kuhusu Diamond..

Ngoja nilale nipange mikakati ya mapinduzi aiseee.... uchumi ninao why niukalie?

Eti binamu kwani watabandua waondoke nayo. Halafu pia so sabuni useme itaisha. Akuu mie :what::what::what:

Uzuri haisomi MILEAGE....Ipeleke tu ikatifuliwe,kaza roho
 
By that time sikujua Kama hicho kipengele kinahusika my dear sister nilipojua aaaah nimejiachia wao waendee tu ngoja niendelee na mikakati mingine.
Haya maisha haya kama nguvu unayo ni bora tu kwenda kufanya kazi kwa bidii....fuga hata kuku..lakini kwenda kukorogwa njia ya haja...hapana aisee..
 
Last edited by a moderator:
Sijui nani alimloga huyu binti maana naona mchawi wake alishakufa.Hivi by that time hakufikiria Luna kuachwa? Au pesa kuisha. Yy alijua Clement is there for her forever.Show off mbaya sana
Pesa za kuhongwa ni wachache sana wanakuwa na akili nazo wengi wao wanaishia kufanyia starehe wakijua kesho watapata tena....matokeo yake ndo hayo
 
Pesa za kuhongwa ni wachache sana wanakuwa na akili nazo wengi wao wanaishia kufanyia starehe wakijua kesho watapata tena....matokeo yake ndo hayo

Ni shider shosti. Na ukichacha hata mashosti wanaanza kukukwepa japo walikuwa frost line kukuchuna
 
Haya maisha haya kama nguvu unayo ni bora tu kwenda kufanya kazi kwa bidii....fuga hata kuku..lakini kwenda kukorogwa njia ya haja...hapana aisee..

Umeona eeeeh.. tatizo mastar wanapenda miteremko
 
lol we ndo umeenda mbali zaidi........umjue mtu asiefikiria kukujua ya kazi gani ikiwa we mwenyewe ujijui

Kwan hao wengine tunaowekewa hapa picha wananijua au kukujuaa humu ni full udaku lazima na mapicha yamwagweee
 
Nimeshasogea babe...haya niambie.

Yaani saiv niko kwenye mitandao nahangaika ku tafuta suprise order kwa ajili yako babe usiogope nitakupa Audi kwanza uzungushe wakati unasubiri mzigo ufike usihangaike na wakina Clement..wakati na sie tupo
 
Hahhhhahhhhahhha umechoka kupanda daladalaa eee

Nimechoka shoti.. Shida ya nini wakati mapedeshee Kama akina Mu-sir wapo kwa ajili ya warembo sie.

Why nichomwe moto wa vitumbua wakati naeza pata gari nikiwa kitandani...
 
Last edited by a moderator:
Yaani saiv niko kwenye mitandao nahangaika ku tafuta suprise order kwa ajili yako babe usiogope nitakupa Audi kwanza uzungushe wakati unasubiri mzigo ufike usihangaike na wakina Clement..wakati na sie tupo

Wooow...how sweet of you honey... muaaaaa muaaaa muaaaaa
 
Jamani mimi natafuta any used bongo star, mtaalam wa kuunganisha Ani - PM.
 
Sifa kubwa, asiwe anayeshikilia kwenye 'media headlines'
 
Back
Top Bottom