Rapunzel
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,079
- 599
Hebu nimuvuzishie contact aisee... labda nitapata japo kicorolla kibovu..
Hahahh Tatiana hutaki harrier wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nimuvuzishie contact aisee... labda nitapata japo kicorolla kibovu..
Nimeshasogea babe...haya niambie.
Wooow...how sweet of you honey... muaaaaa muaaaa muaaaaa
Nimechoka shoti.. Shida ya nini wakati mapedeshee Kama akina Mu-sir wapo kwa ajili ya warembo sie.
Why nichomwe moto wa vitumbua wakati naeza pata gari nikiwa kitandani...
halafu bora uachane na CL kaza kwa Mu sir Wema full kuweka mabiff na wote wanaotoka nae
wakati waliachana akaenda kwa diamond sijui anataka Clement awe single wakati its all about SHARING lol
More muaaaaaa to u Dear hi hi hii
Umeona eeh halafu situmii ule mtandao wa 0713.. yaani ni Full Vodacom kwangu only Papuchi applicable
Ngoja nilale nipange mikakati ya mapinduzi aiseee.... uchumi ninao why niukalie?
Eti binamu kwani watabandua waondoke nayo. Halafu pia so sabuni useme itaisha. Akuu mie :what::what::what:
Hahaha na wala haiyoshi viombo au kupika kazi take moja itumie tu shost
warumi halafu umesikia Rommy anavyoitwa!!!!!!!!!!!
kumbe nae ni .......................................
Life is too short lets enjou it to the fullest. Why not??? Aah me with my baby?? Audi si mali kitu.
Malizia basi damwani......
Halaf nilimuona Romy kwenye video ya moyo wangu kakaa na Wemaa kumbe ni wa muda na domoo