Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhhhahhhha komaa utanunua tu lako hahhhahhhha
Kwa domo ataosha rungu mpaka basii
Maana ya dangote ni nini??
Binamu mi nataka la kuhongwa bwana!!
Mpindue mama mawiliii
Halaf binamu uje uturushie picha ya huyo Clement hua hatumjuiiii jamaniii
Sipati picha wakati anaomba msamaha na ile sauti yake....kwahiyo clement kasemaje..?Si nasikia kamuomba msamaha clement
Hongera zake....vipi hana skendo ya madawa ya kulevya mana ndo akili ya baadhi ya watanzania hawawezi kutoka bila ya madawa ya kulevya....Mnigeria bilionea nambari moja Afrika, yaani huyu hata uwachanganye kina mengi, rostam,Dewji, bahresa, Abood hata nusu hawamfikii anapesa sana, anainvest katika sugar na cement, so nadhani diamond anajiona anapesa kiasi cha kujiita jina la billionea huyo wakat hata p-square wenyewe hata wafanye mziki miaka mia hawaji kumkuta huyo mtu.
Kachanganyikiwa na magazeti ya shigongo kuweka hadharani siri za ndomo.....kama anakunjwa....Kachanganyikiwa no mkwanja au? Jamani baby ake si billionaire
lol we ndo umeenda mbali zaidi........umjue mtu asiefikiria kukujua ya kazi gani ikiwa we mwenyewe ujijui
Sipati picha wakati anaomba msamaha na ile sauti yake....kwahiyo clement kasemaje..?
Hongera zake....vipi hana skendo ya madawa ya kulevya mana ndo akili ya baadhi ya watanzania hawawezi kutoka bila ya madawa ya kulevya....
Jamani umesema hauwezi kutoa tigo afu sasa inakuwaje wema awe threat mamy...Ohooooo......kakubaliwa.Another threat to mawindo yangu..
Au kama angeyataka haya angefanya investment kipindi yupo na clement....afu ndo angempiga chini...leo ingekuwa mwendo mdundo....Lol maisha haya... angefikiria kwanza before hajamrukia Mr Ngololo.Note: Love can't bring the food on the table.
Mwe basi balaa hili...asilimia kubwa wenye mafanikio wanawezeshwa na sembe....Kama niliisikiaga vileeer
Jamani umesema hauwezi kutoa tigo afu sasa inakuwaje wema awe threat mamy...
Au kama angeyataka haya angefanya investment kipindi yupo na clement....afu ndo angempiga chini...leo ingekuwa mwendo mdundo....
Mwe basi balaa hili...asilimia kubwa wenye mafanikio wanawezeshwa na sembe....