Wema, Sasa tunaanza kupata picha kuhusu Diamond..

Maana ya dangote ni nini??

Mnigeria bilionea nambari moja Afrika, yaani huyu hata uwachanganye kina mengi, rostam,Dewji, bahresa, Abood hata nusu hawamfikii anapesa sana, anainvest katika sugar na cement, so nadhani diamond anajiona anapesa kiasi cha kujiita jina la billionea huyo wakat hata p-square wenyewe hata wafanye mziki miaka mia hawaji kumkuta huyo mtu.
 
Hongera zake....vipi hana skendo ya madawa ya kulevya mana ndo akili ya baadhi ya watanzania hawawezi kutoka bila ya madawa ya kulevya....
 
Sipati picha wakati anaomba msamaha na ile sauti yake....kwahiyo clement kasemaje..?

Lol maisha haya... angefikiria kwanza before hajamrukia Mr Ngololo.

Note: Love can't bring the food on the table.
 
Hongera zake....vipi hana skendo ya madawa ya kulevya mana ndo akili ya baadhi ya watanzania hawawezi kutoka bila ya madawa ya kulevya....

Kama niliisikiaga vileeer
 
Lol maisha haya... angefikiria kwanza before hajamrukia Mr Ngololo.Note: Love can't bring the food on the table.
Au kama angeyataka haya angefanya investment kipindi yupo na clement....afu ndo angempiga chini...leo ingekuwa mwendo mdundo....
 
Jamani umesema hauwezi kutoa tigo afu sasa inakuwaje wema awe threat mamy...

By that time sikujua Kama hicho kipengele kinahusika my dear sister nilipojua aaaah nimejiachia wao waendee tu ngoja niendelee na mikakati mingine.
 
Last edited by a moderator:
Au kama angeyataka haya angefanya investment kipindi yupo na clement....afu ndo angempiga chini...leo ingekuwa mwendo mdundo....

Sijui nani alimloga huyu binti maana naona mchawi wake alishakufa.

Hivi by that time hakufikiria Luna kuachwa? Au pesa kuisha. Yy alijua Clement is there for her forever.

Show off mbaya sana
 
Back
Top Bottom