Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
Ngoja nilale nipange mikakati ya mapinduzi aiseee.... uchumi ninao why niukalie?
Eti binamu kwani watabandua waondoke nayo. Halafu pia so sabuni useme itaisha. Akuu mie :what::what::what:
Haya maisha haya kama nguvu unayo ni bora tu kwenda kufanya kazi kwa bidii....fuga hata kuku..lakini kwenda kukorogwa njia ya haja...hapana aisee..By that time sikujua Kama hicho kipengele kinahusika my dear sister nilipojua aaaah nimejiachia wao waendee tu ngoja niendelee na mikakati mingine.
Pesa za kuhongwa ni wachache sana wanakuwa na akili nazo wengi wao wanaishia kufanyia starehe wakijua kesho watapata tena....matokeo yake ndo hayoSijui nani alimloga huyu binti maana naona mchawi wake alishakufa.Hivi by that time hakufikiria Luna kuachwa? Au pesa kuisha. Yy alijua Clement is there for her forever.Show off mbaya sana
Uzuri haisomi MILEAGE....Ipeleke tu ikatifuliwe,kaza roho
Watu hawataki kufa maskini....wanafanya wawezavyo kuweka historia duniani....Wenye clean money ni wa kuhesabu..
Pesa za kuhongwa ni wachache sana wanakuwa na akili nazo wengi wao wanaishia kufanyia starehe wakijua kesho watapata tena....matokeo yake ndo hayo
Haya maisha haya kama nguvu unayo ni bora tu kwenda kufanya kazi kwa bidii....fuga hata kuku..lakini kwenda kukorogwa njia ya haja...hapana aisee..
Binamu mi nataka la kuhongwa bwana!!
Njoo mm nikuhonge usihangaike au hadi uhongwe na Clement??
lol we ndo umeenda mbali zaidi........umjue mtu asiefikiria kukujua ya kazi gani ikiwa we mwenyewe ujijui
Nimeshasogea babe...haya niambie.
Nimeshasogea babe...haya niambie.
Yaani saiv niko kwenye mitandao nahangaika ku tafuta suprise order kwa ajili yako babe usiogope nitakupa Audi kwanza uzungushe wakati unasubiri mzigo ufike usihangaike na wakina Clement..wakati na sie tupo
Jamani mimi natafuta any used bongo star, mtaalam wa kuunganisha Ani - PM.
Lol eti used bongo star
Ni tajiri wa kinigeria. Anaitwa Aliko Dangote.