Wema, Sasa tunaanza kupata picha kuhusu Diamond..

Wema, Sasa tunaanza kupata picha kuhusu Diamond..

Hivi mwenye hela anajisifia au anasifiwa.mwenye hela ambae katumia akili na jasho lake utamjua 2, ila wenye hela za msimu full fujo kana wana apollo wa 2002, hela zimekwisha hata atoe 0655 bado bilabila halafu mbna kwenye hiyo video mpododo mmoja mkubwa mwingne mdogo.

Lakichina nini ana inatakiwa afanye wheel balance ili likae sawa
 
Duh hiki kitendo cha wema sepetu kwenda kufanya timbwili pale ofisi za Global publisher, kimestaajabisha sana kama sio kushangaza, binafsi nimejiuliza maswali mengi yakiwemo haya.
1. Wema na mpenzi wako diamond nyinyi ni wageni sana kuandikwa kwenye magazeti?,scandal ya ndomo kuwa shoga imekuchanganya hivyo? Kuna nini nyuma ya pazia unataka kuficha?,nini kilichokuumiza? binafsi sijaona kilichokufanya ukajipigishe makele kama mwehu wakati picha mlipiga na Ku post wenyew tena kwa mbwembwe zote.
2. Diamond mwenyewe aliyeandikwa hajasema chochote wala kuonyesha kuchukizwa na scandal hiyo, mbona wewe imekuuma sana? Unais uvumi ulionea chini kwa chini kuhusu ndomo umeanza kuwa wa kweli? Hizo fikra zako tu hakuna anayemfikiria ndomo vibaya, besides tunajua tu picha ndo zimem cost pengine asingepiga kavaa wigi lako scandal ya ushoga isingeweza kuwa ishu kwenye vyombo vya habari?
3. Inawezekana wema hauna uhakika kama diamond ni mwanaume rijali au vipi? Mbona hiyo scandal imekuchoma sana? Apa unatuachia maswali mengi sana kuhusu shemeji yetu ndomo.
4. Hakuna mtu anayependa mpenzi wake kuandikwa vibaya ndio inajulikana, ila sio kwa nyie ma star, mangapi mmeandikwa bana? Toka 2006 hadi Leo ujazoea magazeti au ? , scandal ya ndomo imekuchoma mno.
5.Ukweli siku zote unauma.
warumi; Ndomo sijamfahamu bado, ndio shemeji yetu diamond or?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom