Wema Sepetu adai Makonda ni malaika wa Mungu aliyetumwa duniani

Umepotoshwa mshamba mkubwa wewe tofaut ya MUNGU na mungu iko moyon na kwenye matendo siyo kwenye maandiko

Acha kuisingizia ccm kwenye kila kitu maana kuna siku mkeo atapigwa miti na utaanza kulia lia na kuisingizia ccm
Hahahaha
 
Aiseee
Hata kama ni shida asiwasingizie malaika..
 
VYUMA VIMEKAZA, POLE WEMA, LIFE STYLE ULYOJICHAGULIA NI LAZMA ULAMBE HATA MAVI IKIBIDI, ILI MRADI USURVIVE MJINI.
 
Kesi yake imeishia wapi ya ngada sijui mnaiitaje sijui bange?
 
Amwite mungu kabisa na afungue kanisa la wanaomwabudu mungu makonda ......ila mchungaji awe nabii tito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…