ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Once a hoe , always a hoe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa huyu Steve Nyerere amejipamba mabendera kama anaenda kwenye mechi ya Taifa Stars, tabu yote ya nini? Anaonekana kama hamnazo huyu.
![]()
wema alishanishinda. kwa ufupi nimenyoosha mikono mtu gani anakuwa kama mvuta bangi bwana
CC
tweenty4seven
Wewe unajielewa, na unampenda kwa dhati pasipo unafiki.
Wenzako wengi wanamvaa maimartha na kumtusi matusi ya nguoni kuwa amevujisha hizo picha.
Inamaana maimartha alikua na Wema muda huo? Au ndo yule mwenye vidole vinene?
Matusi na kumsafisha kwa jazba hakusaidii.
Kuwa mkweli kwake kama ivi inasaidia.Sasa Wema apewe somo ya kuweka mambo yake ya chumbani private.Naona amekazana kurusha vijembe insta.
Saizi ushakuwa fan wake ?Hadi wewe kakushinda ndo. Bas tena, mi tangu aanze kampeni za magu na kumkashifu EL si fan wake tena
SASA MAPENZI YAKE NA MBOWE HADHARANI