Wema Sepetu akijitetea Skendo ya kujiuza kwa Mkongo kisha kukimbiwa bila malipo

Wema Sepetu akijitetea Skendo ya kujiuza kwa Mkongo kisha kukimbiwa bila malipo

sasa huyu Steve Nyerere amejipamba mabendera kama anaenda kwenye mechi ya Taifa Stars, tabu yote ya nini? Anaonekana kama hamnazo huyu.

attachment.php

Hahahahahaha nimecheka.sana lol!
 
Mambo yamemnyookea kapewa dili la kuweka matangazo ya ccm kwenye insta page yake
 
Wewe unajielewa, na unampenda kwa dhati pasipo unafiki.
Wenzako wengi wanamvaa maimartha na kumtusi matusi ya nguoni kuwa amevujisha hizo picha.
Inamaana maimartha alikua na Wema muda huo? Au ndo yule mwenye vidole vinene?
Matusi na kumsafisha kwa jazba hakusaidii.
Kuwa mkweli kwake kama ivi inasaidia.Sasa Wema apewe somo ya kuweka mambo yake ya chumbani private.Naona amekazana kurusha vijembe insta.

Hata mi nilikua fan wake ila nowdays naona kanishinda, hiyo team yake haijielewi kutwa kutukana watu hata akikosea kwao sawa tu
 
WEMA SEPETU AFUNGUKA UKWELI KUHUSU VOICE NOTE ILIYOVUJA YA YEYE NA MBOWE

 
Back
Top Bottom