Wema Sepetu akutwa na hatia ya kukutwa na Madawa ya kulevya! Alipa faini na kuachiwa huru

Wema Sepetu akutwa na hatia ya kukutwa na Madawa ya kulevya! Alipa faini na kuachiwa huru

alijipeneekza ccm kisa wamsaidie kesi ,pamoja na kujipendekeza kwa bashite pia karungwa tu
 
View attachment 813868
Msanii wa filamu ambae pia alikuwa Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu amekutwa na hatia ya kukutwa na kutumia dawa za kulevya.

Ahukumiwa jela mwaka mmoja au kulipa faini ya milioni 2.

Washtakiwa wawili kwenye kesi hiyo ambao ni wafanyakazi wake wa ndani wameachiwa huru baada ya kukutwa hawana hatia

Habari zaidi, soma=>Sakata la Madawa ya Kulevya: Wema Sepetu afikishwa Mahakamani, apata dhamana
2M tu vs billions?
ngoja nami nianze biashara ya ngada fasta.....inalipa!!
 
Kwa lugha nyingine mahakama imedhibitisha kuwa Wema Isaack Sepetu ni mvuta bangi, mvuta ganja, mvuta msuba!! Hataenda jela as atalipa fain ila jamii inajua kuwa Wema ni mvuta bangi na mvuto mmoja wa bangi hukaa kichwani kwa miaka7. Tutahusianisha kauli na matendo ya Wema sepetu na bangi avutayo
 
Ndiyo maana huwa akili yake haiku vzr muda mwingine sababu ya Ngada
 
Mahakama zetu zinakosa credibility kwa Mambo haya haya ya kuangalia Status ya mtu na Fame yake ndio zitoe judgement, All in all, Karma is a bitch, Never losses his adress
 
Back
Top Bottom