sosssy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2017
- 668
- 537
Awe huru ili aendelee kutumia ngada, soon atakuwa teja...
Bora awe teja tu mkuu , c ametaka mwenyewe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe huru ili aendelee kutumia ngada, soon atakuwa teja...
Huyu martin kadinda anaweka nini wema. Maana si mchezo hiyo kufuli ya mikono
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Ijumaa, Julai 20, 2018 inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu na wenzake wawili.
Mrembo wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu tayari amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kwa ajili ya kusikiliza hukumu ya kesi ya matumizi ya madawa ya kulevya inayomkabili.
Hukumu ya kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Mrembo na mwigizaji Wema Sepetu imeanza kusomwa na Hakimu Thomas Simba katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam muda huu.
=======
View attachment 813906
Msanii wa filamu ambae pia alikuwa Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu amekutwa na hatia ya kukutwa na kutumia dawa za kulevya.
Ahukumiwa jela mwaka mmoja au kulipa faini ya milioni 2.
Washtakiwa wawili kwenye kesi hiyo ambao ni wafanyakazi wake wa ndani wameachiwa huru baada ya kukutwa hawana hatia
Habari zaidi, soma=>Sakata la Madawa ya Kulevya: Wema Sepetu afikishwa Mahakamani, apata dhamana
Mkemia Mkuu: Mkojo wa Wema Sepetu ulikuwa na bangi
Wema amelipa faini, wakili wake, Msando amezungumza
Ashukuru mungu alijisalimisha mapema Lumumba....
Pamoja na kuhama bado kapewa chake
For free, au unasqueeze hata hicho kidogo alicho nacho huyo poor people ili kumtetea, au unamtetea kwenye JF huyo poor people
Hiyo bangi baba, sasa ww kutwa na sembe ndio utajua jela kuna mbwa cocoKumbe ukikutwa na DAWA ZA KULEVYA adhabu yake ni ndogo hvyo..mill 2!??
Bangi yake original lkn ....Makalio ya dawa, dawa ya kupaka, sindano. kila itu fake hapo, pole sana
No, anamsubiri Kajala.
Baada ya wiki watamfungulia tena kesi nyingine!![emoji53]siku hizi kuwa ccm imekuwa ni amri,sio request tena...
bangi ina kuwa overrated sana kama madawa ya kulevya wakati ni mboga tu.Mimi mwenyewe nimeshangaa..dawa za kulevya adhabu M2??