Wema Sepetu akutwa na hatia ya kukutwa na Madawa ya kulevya! Alipa faini na kuachiwa huru

Wema Sepetu akutwa na hatia ya kukutwa na Madawa ya kulevya! Alipa faini na kuachiwa huru

Kwa lugha nyingine mahakama imedhibitisha kuwa Wema Isaack Sepetu ni mvuta bangi, mvuta ganja, mvuta msuba!! Hataenda jela as atalipa fain ila jamii inajua kuwa Wema ni mvuta bangi na mvuto mmoja wa bangi hukaa kichwani kwa miaka7. Tutahusianisha kauli na matendo ya Wema sepetu na bangi avutayo
Haaa kwani hujahusisha hadi leo
 
And that's why we found a lot of poor prisoners in the prisons.


Yana mwisho .
Poor people I'm all about fighting for you.
For free, au unasqueeze hata hicho kidogo alicho nacho huyo poor people ili kumtetea, au unamtetea kwenye JF huyo poor people
 
ML 2 NI NDOGO SANA AISEE, INAHAMASISHA WATU KUENDELEA KUTUMIA NA KUJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA...BORA KUSINGEKUWA NA AU FAINI...INGEBAKI SERO MIAKA HIYO ILI WENGINE WAOGOPE JAPO KIDOGO...SASA IYO 2ML SI ANALIPA KWA MPESA TU?
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa..dawa za kulevya adhabu M2??
Adhabu huwa inatolewa kutokana na aina ya dawa za kulevya ulizokutwa nazo na kiwango cha dawa hizo. Ifahamike kuwa Wema alikutwa na msokoto wa Bangi ndiyo maana adhabu yake imekuwa ndogo.
 
Wakuu ila kiukweli angekua hajarudi ccm huyu angepata tabu sana
IMG_5914.JPG
 
Akakate rufaa, kwani alikutwa na bangi kweli...?
 
Kuna mtu kanichekesha nimecheka nimeumia.Ameniambia kuliko kukutwa na samaki walio chini ya kiwango cha ukubwa sasa hivyi ni aheri ukamatwe na bangi unaweza singizia umekuwa nayo sababu tu ni dawa ya sikio maana bangi inatibu sikio
 

Star wa Filamu Bongo @wemasepetu Amehukumiwa Kifungo cha Mwaka Mmoja Jela au Kulipa Faini ya Shilingi Milioni Mbili za Kitanzania Kwa Kosa la Kukutwa na Dawa za Kulevya.

Watuhumiwa Wengine ambao walikutwa na hatia hiyo, wakiwemo wafanyakazi wa ndani Nyumbani kwa Wema Sepetu wameachiwa huru baada ya kukutwa hawana hatia yoyote.

[HASHTAG]#Tumewasha[/HASHTAG] [HASHTAG]#HiiNiYetuSote[/HASHTAG] [HASHTAG]#SanaaImezaliwaUpya[/HASHTAG] [HASHTAG]#ChomboKwaHewa[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom