HahahahahaNo, anamsubiri Kajala.
inawezekana ikawa danganya toto tu.Pamoja na kuhama bado kapewa chake
Kumbe ukikutwa na DAWA ZA KULEVYA adhabu yake ni ndogo hvyo..mill 2!??
2M tu vs billions?View attachment 813868
Msanii wa filamu ambae pia alikuwa Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu amekutwa na hatia ya kukutwa na kutumia dawa za kulevya.
Ahukumiwa jela mwaka mmoja au kulipa faini ya milioni 2.
Washtakiwa wawili kwenye kesi hiyo ambao ni wafanyakazi wake wa ndani wameachiwa huru baada ya kukutwa hawana hatia
Habari zaidi, soma=>Sakata la Madawa ya Kulevya: Wema Sepetu afikishwa Mahakamani, apata dhamana
Hizi ni sheria na kila linalofanyika liko kwa mujibu wa sheria...Kumbe ukikutwa na DAWA ZA KULEVYA adhabu yake ni ndogo hvyo..mill 2!??
Kwa mtu ANAYEJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA huyo pesa ni ndogo sanaa..Milion mbili ni ndogo na kubwa bt it depend ni kwa mtu mwenye status ipi[emoji852]οΈ
Nitajie kifungu cha sheria kinachosema mtu Akikamatwa na DAWA ZA KULEVYA afungwe mwaka mmoja au faini ya MILLIONI 2!!Hizi ni sheria na kila linalofanyika liko kwa mujibu wa sheria...
Tako lote lile hawezi kukosa faini ya 2MNi kutokana na kukutwa na hatia ya kutumia dawa za kulevya
ππππ ulitaka akafanye kazi usiku na mchanaKwanini wameweka faini?