Wema Sepetu akutwa na hatia ya kukutwa na Madawa ya kulevya! Alipa faini na kuachiwa huru

Ina maana katika wote waliokamatwa ni yeye tuu kakutwa na hatia
 
And that's why we found a lot of poor prisoners in the prisons.


Yana mwisho .
Poor people I'm all about fighting for you.
 
Hawezi kulipa hata hiyo 2M maana alishajisalimisha muda mrefu
 
Atajuaje kama huu ni utawala wa JIWE...!!!
 
Tutaolimia meno ili tujilishe (in lugola's voice) ni mimi na wewe tusio na ilani.
 
Kifungo cha mwaka mmoja au faini milion mbili.. Khaaaa atashindwa kutoa m mbili tu?
 
Wangempima akili kwanza asingefungwa, naamini akili yake ina walakni, make kila skendo utamkuta.
 
Bado nasubiri Kajala Masanja aende kumtolea hiyo faini
 
Tumilioni tuwili tuu hapo boss lady tanzania sweetheart anakatoa tu hakana taabu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…