Makalio ya dawa, dawa ya kupaka, sindano. kila itu fake hapo, pole sanaDuuuh... I love the girl so much.
Haaa kwani hujahusisha hadi leoKwa lugha nyingine mahakama imedhibitisha kuwa Wema Isaack Sepetu ni mvuta bangi, mvuta ganja, mvuta msuba!! Hataenda jela as atalipa fain ila jamii inajua kuwa Wema ni mvuta bangi na mvuto mmoja wa bangi hukaa kichwani kwa miaka7. Tutahusianisha kauli na matendo ya Wema sepetu na bangi avutayo
For free, au unasqueeze hata hicho kidogo alicho nacho huyo poor people ili kumtetea, au unamtetea kwenye JF huyo poor peopleAnd that's why we found a lot of poor prisoners in the prisons.
Yana mwisho .
Poor people I'm all about fighting for you.
Tz sweetheart na baba keagan ni marafiki, atampa mtonyo mambo yanaenda fresh tutaonana instaHawezi kulipa hata hiyo 2M maana alishajisalimisha muda mrefuView attachment 813888
Adhabu huwa inatolewa kutokana na aina ya dawa za kulevya ulizokutwa nazo na kiwango cha dawa hizo. Ifahamike kuwa Wema alikutwa na msokoto wa Bangi ndiyo maana adhabu yake imekuwa ndogo.Mimi mwenyewe nimeshangaa..dawa za kulevya adhabu M2??
siku hizi kuwa ccm imekuwa ni amri,sio request tena...
Akakate rufaa, kwani alikutwa na bangi kweli...?
Yes mwilini na chumbaniAkakate rufaa, kwani alikutwa na bangi kweli...?
Kumbe ni kweli kabisa kinavuta bangi..Yes mwilini na chumbani
Awe huru ili aendelee kutumia ngada, soon atakuwa teja...Apo pagumu mkuu bora alipe tu awe huru
Kumbe ni kweli kabisa kinavuta bangi..
Bora alirudi lumumba akakae na wavuta bangi wenzie pale kibarazani..