Adhabu imezidi miezi sita hivyo anakosa sifa ya kugombea uongozi wa kisiasaWakuu ila kiukweli angekua hajarudi ccm huyu angepata tabu sanaView attachment 813918
2mil si hela ya wigi tu, anayo hiyoWakuu ila kiukweli angekua hajarudi ccm huyu angepata tabu sanaView attachment 813918
Nasikia idrisa sultan kasema atamlipiaWakuu ila kiukweli angekua hajarudi ccm huyu angepata tabu sanaView attachment 813918
tuliambiwa sheria za kupambana na madawa ya kulevya zimekuwa Kali kumbe hamna kitu !!!! kwa wenye mifedha watapeta tu!!! kwa style hii wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya kamwe hawato acha
Adhabu imezidi miezi sita hivyo anakosa sifa ya kugombea uongozi wa kisiasa
Nasikia idrisa sultan kasema atamlipia
Hiyo ni fedha nyingi sana kwa WAVUTA BANGI.ML 2 NI NDOGO SANA AISEE, INAHAMASISHA WATU KUENDELEA KUTUMIA NA KUJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA...BORA KUSINGEKUWA NA AU FAINI...INGEBAKI SERO MIAKA HIYO ILI WENGINE WAOGOPE JAPO KIDOGO...SASA IYO 2ML SI ANALIPA KWA MPESA TU?
Umeandika pumba hizi! Hebu soma Mwenyewe tenaila wajamaica wakijua kuna watu wanafungwa kwa ajili ya marijuana.watafungua kesi mahakama za juu.
Yaah ila kwa mlala hoi kama mm ni mtaji toshaKwa mtu ANAYEJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA huyo pesa ni ndogo sanaa..
hahaaaaaNo, anamsubiri Kajala.
ukiwa mwanachama " WA lumumba ",mahakama " huwa ina desturi ya kukuonea hayaMil2 mbona ndogo ivo?
kuna wanaoipata " kwa masaa kadhaa ",,na wanaoingiza kwa Siku",so ukweli ni kwamba ", nihela ndogo sanaKwa mtu ANAYEJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA huyo pesa ni ndogo sanaa..
sio kwa wa tz", nchi haina watu makini wakiwango hichokwa watu wanaojali mambo ya carrier,huyo ataishia insta tu
Hakuna mtu makini atashirikiana kibiashara na convicted drug user
Bullshit!Duuuh... I love the girl so much.
unadhani kampuni gani makini inaweza kumpa mkataba?sio kwa wa tz", nchi haina watu makini wakiwango hicho
kwani " tangu lini " ameshawahi kupewa mkataba " na KAMPUNI MAKINI " ??unadhani kampuni gani makini inaweza kumpa mkataba?
Aliwahi kudhaminiwa na Airtel kipindi chake cha sijui diary lakii bange na kuambatana na mashga kunamuharibiakwani " tangu lini " ameshawahi kupewa mkataba " na KAMPUNI MAKINI " ??