Wema Sepetu akutwa na hatia ya kukutwa na Madawa ya kulevya! Alipa faini na kuachiwa huru

Wema Sepetu akutwa na hatia ya kukutwa na Madawa ya kulevya! Alipa faini na kuachiwa huru

Ndomana alirudi jembe na nyundo.....angebaki cdm wangemnyoaa

Ova
 
kwa watu wanaojali mambo ya carrier,huyo ataishia insta tu
Hakuna mtu makini atashirikiana kibiashara na convicted drug user
 
tuliambiwa sheria za kupambana na madawa ya kulevya zimekuwa Kali kumbe hamna kitu !!!! kwa wenye mifedha watapeta tu!!! kwa style hii wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya kamwe hawato acha

Serikali ya wanyonge ya awamu ya tano inafunga masikini wasio na milioni mbili ya kulipa faini
 
ML 2 NI NDOGO SANA AISEE, INAHAMASISHA WATU KUENDELEA KUTUMIA NA KUJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA...BORA KUSINGEKUWA NA AU FAINI...INGEBAKI SERO MIAKA HIYO ILI WENGINE WAOGOPE JAPO KIDOGO...SASA IYO 2ML SI ANALIPA KWA MPESA TU?
Hiyo ni fedha nyingi sana kwa WAVUTA BANGI.
Tusichukulie nayo hii kama UNGA . Wavuta BANGI wengi hawana hela. Adhabu hata ya LAKI MOJA tu,wengi hawaimudu. Ila, kinachonishangaza, ni mrembo kama huyu kutumia BANGI. Naiona kama GONGO vileee!
 
Kwa mtu ANAYEJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA huyo pesa ni ndogo sanaa..
kuna wanaoipata " kwa masaa kadhaa ",,na wanaoingiza kwa Siku",so ukweli ni kwamba ", nihela ndogo sana
 
kwa watu wanaojali mambo ya carrier,huyo ataishia insta tu
Hakuna mtu makini atashirikiana kibiashara na convicted drug user
sio kwa wa tz", nchi haina watu makini wakiwango hicho
 
kwani " tangu lini " ameshawahi kupewa mkataba " na KAMPUNI MAKINI " ??
Aliwahi kudhaminiwa na Airtel kipindi chake cha sijui diary lakii bange na kuambatana na mashga kunamuharibia
 
Back
Top Bottom