Mozila
Senior Member
- Mar 23, 2012
- 174
- 48
Wema sepetu ametoa mil 13 cash leo mahakamani kuzuia msanii kajala asiende jela kwa miaka 8, baada ya hukumu yake kutolewa leo..halla! mamy sepetu.
Hukumu ya Kajala ni kwamba kesi ya kwanza anatakiwa kulipa faini ya million 5 na ya pili ni millioni 8 au kwenda jela miaka mitano. Wasanii wa bongomovie wanazichanga hapahapa kuzilipa ila zimepungua kidogo. Wema na Zamaradi wamekimbia ATM kuzichukua zingine. Leo leo Kajala anafika nyumbani kwao. Umeipata kwanza hapahapa exlcusive. Bongomovie umoja upo sana tu.God Bless!
From: www.bongomovietz.com
Updates::::Wema Sepetu Mil 13 kazitoa mfukoni mwake kumchangia KAJALA atoke jela...
![]()
Hawa hapa!!!!!!!!!!!!
