elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
haka ka jamaa kwa kujipendekeza ni balaa eti kanajiandaa kumwandalia sherehe prezident kikwete pyuuuu!!!!!!
Haka kajamaa kanajipendekeza sana inaelekea kuna kitu kanamendea si bure au ndio kanajiandaa ili kagombee ubunge huko kwao.
Kangekuwa kabinti kangekuwa kama kamata