Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mchakato wa kuhalalisha hela haramu, yaani hela ambayo hukuipata katika njia halali sasa unataka uihalalishe. Mfano, hela za kuiba unajenga nyumba na kuipangisha au hela za madawa ya kulevya unaziingiza kwenye biashara nyingine halali kama ya kuuza magari.Wakuu mi nipo nyuma kidogo(ushamba) naomba mniweke sawa hapa kutakatisha hela haramu what does it mean? Yaani jamaa kafanyaje?
Ni miaka saba mkuuVipi mumewe hana mtu wa kumlipia hizo milioni 200 nae aepuke kwenda jela miaka mitano?
na kweni mkuu mtu wa kiume kuwa hivi ni hatari!!!!!!!!!!!!!!!!
acha roho ya kwann ndugu, kujishow off kwa lipi? Nani asiyemjua wema mpaka hlo ndo limpe umaarufu
wema sepetu kila mwezi anachukua mil 2 kwa kuwa mwakilishi wa redds, bado fungu la kuwa miss tz.. Mil 13 frm wema its fneIngekuwa vizuri kama Wema angetoa ufafanuzi wa hizo pesa zake zimetoka kwenye source ipi kati hizi zifuatazo(ili kuepusha hisia za kutakatisha pesa chafu)
1/Filamu zake za Bongo movie.
2/Mchuno wake alioufanya kwa Daimond.
3/Biashara yake ya kuuza Uroda kama njugu.
akufafanunul;ie we kama nani?? we mwenyewe hujui ile waxy ya mkeo imetoka wapi, unachunguza vyanzo vya wenzio!! mumuwacheeeeeee wema apumuweee....!Ingekuwa vizuri kama Wema angetoa ufafanuzi wa hizo pesa zake zimetoka kwenye source ipi kati hizi zifuatazo(ili kuepusha hisia za kutakatisha pesa chafu)
1/Filamu zake za Bongo movie.
2/Mchuno wake alioufanya kwa Daimond.
3/Biashara yake ya kuuza Uroda kama njugu.
Ni mchakato wa kuhalalisha hela haramu, yaani hela ambayo hukuipata katika njia halali sasa unataka uihalalishe. Mfano, hela za kuiba unajenga nyumba na kuipangisha au hela za madawa ya kulevya unaziingiza kwenye biashara nyingine halali kama ya kuuza magari.
mkuu ntamaholo, sio kitu kuzungumzwa bali binafsi naangalia jinsi ilivyo ngumu siku hizi kupata pesa. Unakuta watu kibao benki wanatafuta mikopo ya 2m miezi kwa hiyo kwa mtu kupata 13m ya haraka haraka na ukichukulia huyu ni mjasiriamali aliyefungua ofisi juzi tu. Ni habari njema kuwa ile sera ya 'kutengeneza mabilionaire' inawezammhuuu!!!! ndo nini hapo? kama kuna kitu tofauti kinazungumziwa hapo