Wema Sepetu amwokoa Kajala, atoa milioni 13 kumnusuru

Wema Sepetu amwokoa Kajala, atoa milioni 13 kumnusuru

roho ya kwa nini hapo imetoka wapi?

Wewe unavyomjua wema unadhani kila mtu anamjua?

Anyway umeuliza kujishowoff kwa lipi? Kwani ukimsaidia mtu mpaka tanzania nzima wajue?

wewe kweli kilaza hivi jela unaijua unaisikia, pia kwa mazingira ya mahakamani ulitegemea siri iwepo kivipi mbele ya wandishi wenye njaa na habari acha kukurupuka wema sepetu anaitaji kupewa sifa kwa hili.
 
.............Usiseme Watu hawana hela ... sema wewe huna hela....
 
wasanii kuweni mfano saidianeni hivo hivo na wakumbukeni maskini na yatima
big up Wema
 
Pamoja na Wema kufanya wema kwa kuwalipia faini, isije ikawapa wana Bongo Movies kiburi wawe wanavunja sheria za nchi kwa mategemeo ya kulipiana faini.

Ni angalizo tu kwani siyo kesi zote hukumu zake huwa lazima ulipe faini.
Nyie ni kioo cha jamii
 
Hapa swala la msingi kwa wakati huu ni kumshukuru kwa msaada alotoa, hayo ya kuuliza chanzo cha mapato yake sisi sio serikali hadi tujue vyanzo vya mapato ya mtu.
 
"Blessed is the hand that giveth,than the one that take it"-lucky dube

Mungu mwenye wingi wa rehema akuwekee wepesi pale penye uzito
 
Daaah kafanya jambo la maana sana huyu mdada!
 
Mrembo Wema Sepetu leo amemake headline baada ya kutoa mfukoni mwake shilingi milioni 13 kulipa faini aliyopigwa muigizaji mwenzie Kajala Masanja aliyehukumiwa leo kwenda jela miaka see more
 
yah liwezekanalo leo lisingoje kesho,hata Bible inakataza kumwambia mtu aende arudi kesho wakati kitu unacho na una uwezo wa kumsaidia,abarikiwe ktk mema ayatendayo
 
Natumai hawatakuja kufarakana na kuanza kudaiana na kuishia kuchambana kwenye vyombo vya habari.

Manake milioni 13 kibongo bongo si ndogo. Sasa mtu kutoa tu hivi hivi bila makubaliano au masharti yoyote?

Why do I find that hard to believe?....

Does Wema have that kinda money where she can just cut a check for 13 amilli to bail out one of her 'friends'?
 
Naamini Kajala atamlipa Wema hiyo hela labda tena kwa riba.

Alichooneshaa Wema ni uungwana wa kumwamini Kajala kuwa atalipa hata kama hawajaandikishana.

But atalipwa, ukute Wema mwenyewe kakopa mahali.

Wakijakuwa na bifu huko baadae watakuja kudisiana hivi:

...Kama siyo mimi kukutoa selo wala usingekuwa na unatembea na boyfriend wangu!

...Mie ndo nilikuleta kitaa huku lakini sikufanya hivyo, ili uje eti utembee na boyfriend wangu!

... Nyambaf mkubwa wewe, tena umkome kabisa na boyfriend wangu vinginevyo nitakurudisha huko huko selo!

....Kwanza nipe pesa yangu!...Nasema nipe pesa yangu!!! ... Unaniskia?

....Nipe pesa yangu malaya mkubwa wee!! (huku wanavutana nywele). lol

But I hope they will be best friends ever.

Whether or not Kajala atamrudishia hizo pesa, kitendo alichofanya Wema ni cha kuiga.

A friend should always be friend even where s/he has messed up really bad.

Rafiki wa ukweli utamjua wakati ukiwa na shida kama aliyokuwa nayo Kajala pale mahakamani baada ya hukumu kusomwa.

Wengine utawaona wakati wa raha tuu au wao wakiwa na shida.
 
Natumai hawatakuja kufarakana na kuanza kudaiana na kuishia kuchambana kwenye vyombo vya habari.

Manake milioni 13 kibongo bongo si ndogo. Sasa mtu kutoa tu hivi hivi bila makubaliano au masharti yoyote?

Why do I find that hard to believe?....

Does Wema have that kinda money where she can just cut a check for 13 amilli to bail out one of her 'friends'?

Juzi amefanya shopping yenye thamani ya ML.6 za kibongo kwa ajili ya mbwa wake tu, wema anaonekana mwenye hela ya kutosha sana kumfanya abadili nguo, ale, na abadilishe mboga na kuheshimika kibongo bongo. Ninatafakari sana urahisi wa kufanya haya kirahisi rahisi tu?? mie pia nimekuwa nikisapoti wema sana ila kuna mambo ukiwa critical na sio fwata upepo ni lazima utabaki na maswali mengi .
 
Mrembo Wema Sepetu leo amemake headline baada ya kutoa mfukoni mwake shilingi milioni 13 kulipa faini aliyopigwa muigizaji mwenzie Kajala Masanja aliyehukumiwa leo kwenda jela miaka see more

[h=1]WEMA AMFANYIA MBWA SHOPPING[/h]

Na Imelda Mtema
KWA wale wenye hali ngumu kimaisha wataishia kusema; ni kufuru iliyoje kwani staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu hivi karibuni amewafanyia mbwa wake wawili ‘shopping' iliyogharimu dola 4,000 za Kimarekani (zaidi ya Sh. milioni 6.5 za madafu).

Sehemu ya shopping kwa mbwa wa Wema Sepetu.
Wema aliteketeza kiasi hicho cha fedha kwa kuwanunulia mbwa hao pafyumu, viatu na nguo, alivyoagiza kutoka nchini China, lengo likiwa ni kuhakikisha wanaishi katika mazingira mazuri.
Viatu kwa ajili ya mbwa wa Wema.
Akizungumzia ‘shopping' hiyo nyumbani kwake Kijitonyama, jijini Dar, Wema alisema: "Kiukweli nawapenda sana hawa mbwa, ukinipasua roho yangu utawakuta ndiyo maana nataka wavae na kunukia vizuri, kinyume chake siwezi kuwa na amani.
Wema Sepetu.
"Najua watu wanaweza kushangazwa na kitendo cha mimi kutumia kiasi hicho cha fedha lakini sioni kama ni tatizo kwani ni kitu ambacho kinanipa furaha katika maisha yangu."
Mmoja wa Mbwa wa Wema Sepetu.
Mbwa wa staa huyo aliowapa majina ya Van na Gucc wamekuwa ni gumzo kutokana na jinsi anavyowahudumia huku akiajiri watu maalumu wa kuhakikisha wanavaa, kula na kulala pazuri.

  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom