Kutakatisha fedha ni money laundering, GOOGLE IT utapata hata maana tu kama we si msomi wa sheria. kwa kifupi ni kwamba, mtu anapata pesa kwa njia isiyo halali, ile pesa inakuwa kwa jina lingine pesa chafu. baada ya hapo anaanza kufanya vitu vitakavyoihalalisha ile pesa iwe safi. wengi wanajenga majumba, wengine wanaweza kuchannel zile pesa toka kwenye accounts tofautitofauti na za watu wengine alimradi tu wafiche justification ya zile pesa zionekane kama walizipata kihalali kumbe ni pesa chafu.
mfano: bwanake kajala alipata fedha zile kwa njia ya wizi alikuwa mfanyakazi wa serikali, waliiba pesa za walipakodi wa tz (zilikuwa TRA) kwa kushirikiana na wafanyakazi wengine wa TRA kina katiti ambao hadi sasaivi wanashikiliwa na uyo bwanake kajala, vitengo mbalimbali vilishirikiana, ni zile kesi za epa, ni story ndefu siwezi kueleza kila kitu hapa,....zile hela ni mojawapo ya hela ambazo walinunua/walijenga nyumba wakawa wanaishi na kajala, ....dili lilipovumbuka wakaiuza ile nyumba wakati (noto so much sure...)pccb walikuwa wameizuia. ndio kosa hilo......kama nikija kwenye suala letu, walitakatisha fedha chafu ya wizi wa pesa za epa kwenye majumba na magari...na kajala alishiriki kwa kupitia mume wake. si unajua hata kama mtu anafanya kosa wewe ukishirikiana naye na wewe unatiwa ndani?...thats what happened. kwa kifupi ni kwamba, kutakatisha fedha ni kusafisha fedha haramu ili ionekana kuwa ni halali/safi kwa kuficha chanzo chake etc...upo hapo? try to google " Anti Money Laundering Act of Tanzania 2006"..