Wema Sepetu amwokoa Kajala, atoa milioni 13 kumnusuru

Wema Sepetu amwokoa Kajala, atoa milioni 13 kumnusuru

Hongera wema ..kila mtu ana mazuri na mabaya yake kwenye mazuri lazima tukusifie na mabaya lazima tukukosoe
Big up sana
 
Hute mume alikamatwa kwanza nyumba ikawekwa chini ya PCCB Kajala mtoto wa kota oysterbay kwa kupenda maisha ya juu ya kujirusha na kuhonga akaingia mkenge akauza nyumba iliyo chin ya PCCB sikumbuki exactly figure
Matokeo yake akamuhonga babuu wa kitaa crest nyeupe na yeye kuponda raha mtaani matokeo yake kuishia mikononi mwa polisi
toto tukutu aliyeshindikana kwao
 
Last edited by a moderator:
"Kama wastani wa kipato cha Mtanzania ni chini ya Tsh 1,500 (chini ya $ moja) basi bajeti hii ya mbwa wa Wema inalisha watanzania zaidi ya 10 kwa mwaka" (MpangoA).
JE, MpangoA unadhani Watanzania wote ni mafukara kama ambavyo mchanganuo wako unavyooonesha?
Wapo watu matajiri lakini huenda HAMJUI kama ni matajiri - na kwa kupitia matendo yao kwa jamii ndipo mnagundua kumbe ni matajiri.
Mimi nampongeza Wema Sepetu kwa wema wake wa kumsaidia mwenye shida.
Mnadhani aliita vyombo vya habari na kuwatangazaia kuwa anakwenda benki kuchukua pesa ili kumtoa Kajala?
Hapana. Yeye alitimiza wajibu wake kama Mtanzania mwenzake kwa kumwonea imani. Akaamua kutoa msaada huo ili kumwokoa.
Kwa hiyo sisi ambao hatukwenda mahakamani tusingejua yaliyojiri - ni WAANDISHI WA HABARI ndio wametujuza. Huenda kama waandishi wasingekuwepo, wema huo ungefahamika kwa wachache tu ambao walikuwa mahakamani,
LAZIMA WATANZANIA TUJIULIZE: MTU ATENDE JAMBO GANI LIONEKANE NI JEMA KWENU?
JE ILIKUWA NI DHAMBI KUMSAIDIA BINADAMU MWENZAKE ILI AEPUKANE NA KIFUNGO?
Kumbukeni hata kwenye Biblia Takatifu, Yesu alipoletewa mwanamke aliyefumaniwa...Wayahudi walimwambia kuwa, 'kwa sheria za Kiyahudi huyu mwanamke anapaswa apigwe mawe hadi kufa'...Yesu akamwambia, 'AMBAYE ANAJIONA HANA DHAMBI BASI AWE WA KWANZA KUOKOTA JIWE NA KUMTUPIA'....Je kunaaliyethubutu? au wote walitokomea?
Kwa hiyo, ni lipi jema?
Kumlipia faini ili aepuke kifungo? au kutokumlipia ili akanyee jela?
BINADAMU TUJITAHIDI KUWA NA KIASI....PANAPOSTAHILI PONGEZI TUPONGEZE...PANAPOSTAHILI KUKEMEA NA KUKOSOA TUFANYE HIVYO.
Waswahili walisema 'MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI'
 
mmhuuu!!!! ndo nini hapo? kama kuna kitu tofauti kinazungumziwa hapo
mkuu ntamaholo, unajua mambo ya bongo yanaenda kibongobongo na ndio maana hata yale yaliyo aibu nchi nyingine hapa hufanyika wazi wazi, au unabisha!?
Nimepata haka kalink, labda ukikapitia ndio ujue kuwa tunaye billionaire ambaye cash za kukaa kwenye mfuko zinafikia kwenye 20m
Wema Sepetu ni Bilionea!! Soma hapa kwanini tunasema hivyo.http://www.bongo5.com/exclusive-details-wema-sepetu-ni-tajiri-kiasi-gani-03-2013/
 
ila wasanii wa bongo movies hasa kina dada mnashobokea sana 'mapredeshee".... MUKOME SASA
 
mkuu ntamaholo, unajua mambo ya bongo yanaenda kibongobongo na ndio maana hata yale yaliyo aibu nchi nyingine hapa hufanyika wazi wazi, au unabisha!?
Nimepata haka kalink, labda ukikapitia ndio ujue kuwa tunaye billionaire ambaye cash za kukaa kwenye mfuko zinafikia kwenye 20m
Wema Sepetu ni Bilionea!! Soma hapa kwanini tunasema hivyo.Exclusive Details: Wema Sepetu ni tajiri kiasi gani? | Bongo5

Jana kuna dogo katangazwa kuwa bilionea akiwa ni kidato cha sita, na ametajwa utajiri umetokana na nini. Alifikiria akatengeneza software ya kucheck/kusoma habari za TV kupitia simu ya mkononi. Sasa huyo mlimbwende, tuseme utajiri wake umeanzia aliposhinda umiss. Sasa chukua pesa ile na vyanzo vingine vyote unavyodhani ni shughuli za wema, toa na matumizi yake kwa siku, unadhani anastahili kuitwa milionea? Kwa lipi alilofanya kuzalisha pesa hizo?
 
haka ka jamaa kwa kujipendekeza ni balaa eti kanajiandaa kumwandalia sherehe prezident kikwete pyuuuu!!!!!!

...Usiteme mate mkuu! Usije shangaa prez wetu mwenyewe huyu ndio akamsaidia kuiandaa!:tape2:
 
Jana kuna dogo katangazwa kuwa bilionea akiwa ni kidato cha sita, na ametajwa utajiri umetokana na nini. Alifikiria akatengeneza software ya kucheck/kusoma habari za TV kupitia simu ya mkononi. Sasa huyo mlimbwende, tuseme utajiri wake umeanzia aliposhinda umiss. Sasa chukua pesa ile na vyanzo vingine vyote unavyodhani ni shughuli za wema, toa na matumizi yake kwa siku, unadhani anastahili kuitwa milionea? Kwa lipi alilofanya kuzalisha pesa hizo?

kitu K, kinamuweka mjini.
 
Lazima kuna Kigogo nyuma ya pazia.

......na kina Diamond...
 
akitoka nje, akaondoe lile liringi/liheleni kwenye kisimi/clitoris chake haraka, manake alivyopekuliwa kule gerezani alikutwa na bangili/heleni kwenye harage lake aibu tupu. kweli huyo mwanamke alishindikana kucheza danguro kule alikomtoa p funk, hata huyo fariji sijui alifuata nini kwa mcheza shoo.....mshaurini aendelee kujikita kwenye bongo muvi, asirudie matapishi.
Sasa siri za ndani zahusika vipi ? wewe ukienda hosp unasumbuliwa na " BAWASIRI "alafu dokta akaanza kutangaza kwa kila mtu utafurahi ?
 
pesa zote ametoa wapi huyo. hiyo pesa bora angefanya mpango wa maana.
 
nimewasoma mashabiki wa bongo movie bongolala lakini msisahau bongo usanii ni kama ada mtu anatoka mahakamani anamchukua mwandishi wa udaku anaenda nae benk then anapigwa picha kwenye gari lake na pesa zote zinapigwa picha then anazishika then wanampiga picha tena yaan from charity to developing story hakuna lolote ni upuuzi tu halafu watu wanashangilia pumbaaf
 
Back
Top Bottom