MpangoA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 360
- 231
Duh, haya nayo ni maendeleo. Sasa watoto wa mjini ule msemo wa "ni heri kuzaliwa mbwa Marekani" ubadilike iwe "ni heri kuwa mbwa wa Wema".
Kama wastani wa kipato cha Mtanzania ni chini ya Tsh 1,500 (chini ya $ moja) basi bajeti hii ya mbwa wa Wema inalisha watanzania zaidi ya 10 kwa mwaka.
Wengine pesa tumeishia kuzisoma kwenye vitabu tu, kujipatia vyeti vya heshima na kuishia kufurahia tu sifa ya kuitwa wahasibu, wataalamu wa masoko au wataalamu wa uchumi basi! Nadhani ni wakati muafaka kuachana na jeuri yetu tuombe darasa kwa watu kama Wema!