Teh teh naona mnavyojikanyaga. Kujitetea.Ile show ilikuwa ni kwa ajili kuwashukuru mashabiki ilikuwa ifanyike buree sema watu wangekuwa wengi hiyo 10000 na 15000 kiingilio ni baada ya clouds kuingilia kati na kuchukua 20% kupeleka kwa watoto yatima na wasiojiweza
Vp lakini mkuu swalama??
Khaaa harmonize tena? DaahHarmonize ndo ashindane na Kiba!
Were mchokozi hahahaShow kama za yamoto band....
Kingilio 10,000.
Ya mond kingilio zaid ya 30,000
Nan zaid? Kama kiba angepandisha kingilio naona angenda wema na wpambe wake.
Diamond is diamond
Kama naiona michambo ya mademu wa zamani nliowapitiaga...
Huyo Wema aendelee tu na maisha yake, maana asijekunywa sumu siku moja maana kila siku anazidi kuchanganyikiwa akimuona Diamond na Zari tu anaweuka
HahahahahahahahaaaaaHana hivo ni ghali angefanya buku mbili
Aaaah ID yako inaonyesha unaishi makete escape one umeisikia humuNilkuwepo hakuna lolote tuwe wakweli kiba live band awezi yani anaboa tu kapooza matangazo clouds wamempa mengi ila show ya uongo kero tupu