Wema Sepetu anamkubali sana king Zamunda

Wema Sepetu anamkubali sana king Zamunda

Ile show ilikuwa ni kwa ajili kuwashukuru mashabiki ilikuwa ifanyike buree sema watu wangekuwa wengi hiyo 10000 na 15000 kiingilio ni baada ya clouds kuingilia kati na kuchukua 20% kupeleka kwa watoto yatima na wasiojiweza
Vp lakini mkuu swalama??
Teh teh naona mnavyojikanyaga. Kujitetea.

Mkuu swalama. Heri ya sikukuu boss
 
Show kama za yamoto band....

Kingilio 10,000.
Ya mond kingilio zaid ya 30,000

Nan zaid? Kama kiba angepandisha kingilio naona angenda wema na wpambe wake.

Diamond is diamond
Were mchokozi hahaha
 
Kama naiona michambo ya mademu wa zamani nliowapitiaga...

Huyo Wema aendelee tu na maisha yake, maana asijekunywa sumu siku moja maana kila siku anazidi kuchanganyikiwa akimuona Diamond na Zari tu anaweuka

Jana usiku aliyorusha

Screenshot_2015-12-27-23-23-21_1.jpg
 
Halafu watu wakiandika bila picha mnasema sijui wivu sijui nini wakati hamutanui kwenye social netoworks mumekalia kupinga na kufikiri watu wanajitungia mambo. Haya faidini ya dnapuchati ya staa wenu siku ingine mfatrni huko....

Hayo ndio ya jana usiku na kihindi aliimba ...lol
Screenshot_2015-12-28-03-28-18_1.jpg


Screenshot_2015-12-28-03-27-24_1.jpg



Screenshot_2015-12-28-03-27-03_1.jpg
 
Simba Simba piga mpunga kijanaa, sis wengne tunakuelew sn na tuna iman kubw sn na ww ktk kuinua mzik wetu pamoja na kuitangaza tanzania yetu.
 

Attachments

  • 1451327925226.jpg
    1451327925226.jpg
    67.9 KB · Views: 40
dah mkuu kweli akil mal yaan hadi leo unashindwa kutofautisha kati ya jumlisha na msalaba mond is a special artist tz and africa
 
Back
Top Bottom