Wema Sepetu anatafuta mwanaume wa kumuoa

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Husika na kichwa cha habari hapo juu Jamani mdogowetu amefunguka kuwa anatafuta mwanaume wa kumuoa
Vijana mpooo sio mnasema hamna wanawake hamna wanawake, ee Wema ana hela zake, ana maisha yake ana biashara zake kwani tsh ngapi?

Oeni tu!


 
Sasa huyo atakeyemuoa anaoa kama ua au kama mke? Mbona Wema @sh@t0mbw@ sana jamani! Please give her a break.
sasa unalalamika Wema amekuwa Used wewe je ni Bikra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…