Wema Sepetu anatafuta mwanaume wa kumuoa

Wema Sepetu anatafuta mwanaume wa kumuoa

Mi nasema uzuri au sexy body ni kama laana.

Kila mtu atataka akuonje asonge mbele hakuna atakayeona zaidi ya uzuri au sexy body.
Tatizo wema hana akili ya maisha mbona zari ni mzuri na ni mama. Mwanamke ukikosa vision kwenye maisha lazima uumie, kuna waliotumia uzuri wao umewafanikisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kumbe!![emoji28]

Kuna watu wangapi walikufuata/ wanakufuata?

Hujawahi kuvutiwa (siyo lazima kuufanyia kazi mvuto) na wanaume zaidi ya mmoja?

Wanawake wengi sexy bodied wanakumbwa na hii.

Mcheki J Lo.

Shilole.

Aunty Ezekiel.

Wolper.

Uwoya
JAMII FORUM - WENGI MPAKA NILIPOTANGAZA MIMI MKE WA MTU MAMA WATOTO 3 LAKINI BADO WANAKUJA WHATSAPP NA TUSHAKUWA MARAFIKI

FACEBOOK NINA MARAFIKI 5000 NA BADO REQUEST ZINAKUJA KANITAFUTE UTANIONA

INSTAGRAM NINA AKAUNT 5, ALAFU 1 TU NDIO INA PICHA ZANGU NA FAMILIA YANGU NA MARAFIKI 30 TU TULIOSHIBANA

WHATSAPP NDIO USISEME MY, HUKO KUMEKUWA KAMA KARIAKOO, KUNAZIDI JAMII FORUM!
TATIZO SIO KUFUATWA NA WANAUME HATA MAMA YANGU ANA MIAKA 70 LAKINI BADO ANAFUATWA NA WANAUME, TATIZO NI MSIMAMO WAKO WEWE UNAYOFUATWA! MSIMAMO WAKO UKOJE?

NI HAYO TU KWA LEO KAMA UNA LA ZIADA NJOO INBOX
 
Back
Top Bottom