Wema Sepetu anatafuta mwanaume wa kumuoa

Wema Sepetu anatafuta mwanaume wa kumuoa

HUSIKA NA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU

JAMANI MDOGOETU AMEFUNGUKA KUW AANATAFUTA MWANAUME WA KUMUOA

VIJANA MPOOO
SIO MNASEMA HAMNA WANAWAKE HAMNA WANAWAKE, EE

WEMA ANA HELA ZAKE, ANA MAISHA YAKE ANA BIASHARA ZAKE KWANI TSH NGAPI?

OENI TU!

Wale wenzangu wa kushabikia mpira hii tunaiitaga magharibi ya roho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona mimi nina sexy body kama ya Wema alafu Mzuri kama wema na sina laana?!

we acha kutudanganya bwana!
Jamani kumbe!![emoji28]

Kuna watu wangapi walikufuata/ wanakufuata?

Hujawahi kuvutiwa (siyo lazima kuufanyia kazi mvuto) na wanaume zaidi ya mmoja?

Wanawake wengi sexy bodied wanakumbwa na hii.

Mcheki J Lo.

Shilole.

Aunty Ezekiel.

Wolper.

Uwoya
 
Back
Top Bottom