Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Husika na kichwa cha habari hapo juu Jamani mdogowetu amefunguka kuwa anatafuta mwanaume wa kumuoa
Vijana mpooo sio mnasema hamna wanawake hamna wanawake, ee Wema ana hela zake, ana maisha yake ana biashara zake kwani tsh ngapi?
Oeni tu!
Huyu ajiuze tu hata kwa buku labda atapata mtu asiyejitambua kama MC Pilipili aje kumlilia. Demu yuko fake mno and NOT pretty at all. Jamani wana Yanga SC (wagogo) mpo, njooni mumlilie huyu demu na anataka mahali ya bilioni 2 akasaidie nduguze.