Dinazarde marehemu ?????????? hii ndio naisikia kwako warumiHeaven on Earth Money Stunna, the late Dinazarde, Mrembo by nature, Madame B, Evelyn Salt lusungo Matola maatope matumbo
Ha ha ha naona umefurahi, mi nmemuonea huruma kwakweli....labda ahamie kwa boyfriend ake Idris sultan
Hivi anatoka na Mr. BBA? Siyo ni shemeji tuu. Kazi ipo.
Yale mamilioni ya BBA si bado yapo? Watanunua mjengo sasa kiukwelii..
Mr BBA ndo kamrithi munana
Mungu wangu Wema kawakosea nini wanadamu ??
Huyu dada ana matatizo.. Ajiangalie sana, alafu umri unaenda hana la maana analofanya zaidi ya kuishi maisha ya kuigiza igiza...
Aisee Mkuu nasoma comments za wadau hapa mpaka namwonea huruma ,sasa uigizaji si ndio fani yake mkuu ??
Ha ha ha ha kila birthday anasherehekea na mtu mpya, mwaka jana diamond, mwaka huu munana, sijui mwakani nani ha ha lolMmh si Munana juzi tuu alikuja kwa birthday ya wema mara hui washaachana? Duuh basi nae ana pepo.
Hapa wengine wanaweza wakawa wanacomment kwa chuki zao binafsi.. Ila huyu dem ni tatizo..
Aisee Mkuu nasoma comments za wadau hapa mpaka namwonea huruma ,sasa uigizaji si ndio fani yake mkuu ??
Usiogope wema anadaiwa na warumi lol
Mkuu lakini maisha Mungu si ndie anapanga ??? Halafu tunaweza mlaumu Wema kumbe uki trace back generation moja ya kwao kuna mtu alifanya kitu kisicho sawa sasa ndio hivyo watoto wanavuna madhambi na nuksi za walio watangulia