Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Mkuu Mungu hajampangia mtu mbaya.. U shape your own life..
Huyu binti kachezea sana maisha, ebu angalia maisha ya Miss Tanzania wenzake Kama Jack Mengi, Faraja Nyalandu, Nancy Sumari, yule mtoto wa Sinare, hata sasahivi ukiangalia ya huyu Brigete unaona ana promising future kuliko huyu Wema...
Wema mashabiki ndio wanamponza, hii ya kumwambia ana NYOTA KALI sijuagi maana yake nini, sasa na yeye kashacrem ananyota, matokeo yake hafanyi kazi anasubiri nyota imfanyie kazi kimuujiza, akisema hii nyumba yangu iwe yake kweli, range langu liwe lake kweli, sasa ona kafukuzwa kwenye nyumba ya bei nafuu iliyomshinda kugharamia kahamia ya 1M per month, na wambea wasingemuwahi waandishi wa habari wangeitwa kuchukua pivha turushiwe kwenye tv tuambiwe ni ya kwake kanunua