Wema Sepetu anaufunga mwaka vibaya, afukuzwa kwenye nyumba aliyodai kuinunua 280m

kuna watu humu ukiwauliza kwanini wanamchukia wema! watatoa macho hawana sababu. matatizo humkuta kila mtu aisew

Tatizo anapenda maisha ambayo siyo yake, kwa nn adanganye kanunua nyumba wakati sio kweli? Tena sio mara ya kwanza hatumchukii ila show off za kijinga ndo zinafufanya tumchukie ,akina k lyn wenye maisha yao wametulia kimya yeye kapuku anahangaika kutafuta heshima instagrsm shem on her, na asipobadilika kuaibika kwake itakua ni daily
 
Makontena haya bwana yataenda na wengi.labda hyo nyumba inauzwa ilipie kodi hahahaaaaaaaa
 
Kuna Uzi mmoja ulifunguliwa kitambo kidogo kwa ajili ya kumshauri ila watu humu wakapooonda weeeeeee et tz sweetheart or nobody like her,best miss tz ever,mumuache Mara timeless beauty........
Hapo nikakumbuka msemo wa Nancy sumari "sijushughulish na mambo ya urembo sana kwa kuwa urembo una mwisho wake"... Nancy na mamiss wengi walijua kuwa kila zama na nabii wake....ila wema akajiachia tu kwa kuwa nyota yake haiishi ukali na team wema wakamjaza upepo as if yeye ndo wa kwanza kuvuma tz...tayari kachelewa ingawa sio sana so,anaeza badilika akiacha wenge

Anadanganyika na comments za panya road wake wa instagram
 
Mwenzangu raha ya umbea uongeze chumvi kidogo, hyo piki piki ya kwenda kasi sijui ndo kazileta magufuli, hawa akina imelda na mnaly nimewashindwa kwa umbea aseeh

Ha ha ha eti pikipiki ya mwendo kasi lol
 
Ila pia kwakua wanakuaga wame za watu ndo maana hatangazi, ila all in all Lulu ana akili.....
Af Nimekupm mbona hujibu

Sijapata pm binamu si unajua siku hiz no notification sijui kwa nn,ngoja nichungulie
 
Ahahahah kwa nn binamu? Au uliniroga wewe aisehh mwambie dada ako arudi kijijini aseeh mjin pashamshinda
Mpwa mie mambo kama haya huwa sishabikii kabisa na ndio maana hata dadako Jide yalipomkuta; mie nilibaki kusoma comments tu kimya kimya manake wengine humu huwa hawaangalii matatizo ya kujitakia kama ya kina Wema au ya ajali kazini kama ya akina Jide! Lakini pamoja na yote hayo, huyu dadako Wema nadhani anahitaji counseling manake si bure huyu!
 
Tatizo anapenda maisha ambayo siyo yake, kwa nn adanganye kanunua nyumba wakati sio kweli? Tena sio mara ya kwanza hatumchukii ila show off za kijinga ndo zinafufanya tumchukie ,akina k lyn wenye maisha yao wametulia kimya yeye kapuku anahangaika kutafuta heshima instagrsm shem on her, na asipobadilika kuaibika kwake itakua ni daily

Kwa kweli 'shem on her',
Maana hakuna jinsi!
 
Mpwa mie mambo kama haya huwa sishabikii kabisa na ndio maana hata dadako Jide yalipomkuta; mie nilibaki kusoma comments tu kimya kimya manake wengine humu huwa hawaangalii matatizo ya kujitakia kama ya kina Wema au ya ajali kazini kama ya akina Jide! Lakini pamoja na yote hayo, huyu dadako Wema nadhani anahitaji counseling manake si bure huyu!

Ebu mtake radhi jide wewe, yule mwanamke anapambana mwenyew ni fighter, huyo wema umfananishe na vigodoro wenzie akina aunty ezekiel, jide kafulia ila ana nyumba yake na magar yake, na sasa hiv yupo london anajipanga, wema sio wa kumfananisha na jide wewe,yani binamu na akili zako timamu unamfananisha wema na jide? Anguko la jide ni la kawaida na wala hakuwa na majigambo ovyo kwa watu, ila huyu alijifanya anamilik nyumba kumbe hana lolote, kama umekosa point mkuu bora unyamaze sio kumfananisha jide na wema
 
Diamond please msaidie wema akae ata stoo kwako jaman ataumbuka mjini maana hana pa kukaaa, kila mtu anamkimbia mjini alivyojaa nuksi maskini, hiz nyota za bundi tabu sana, zinawaka usiku tu mchana giza, atajibeba

Nyota ya bundi hahahaha
 
Ebu mtake radhi jide wewe, yule mwanamke anapambana mwenyew ni fighter, huyo wema umfananishe na vigodoro wenzie akina aunty ezekiel, jide kafulia ila ana nyumba yake na magar yake, na sasa hiv yupo london anajipanga, wema sio wa kumfananisha na jide wewe,yani binamu na akili zako timamu unamfananisha wema na jide? Anguko la jide ni la kawaida na wala hakuwa na majigambo ovyo kwa watu, ila huyu alijifanya anamilik nyumba kumbe hana lolote, kama umekosa point mkuu bora unyamaze sio kumfananisha jide na wema
Mpwa acha bhangi bhana... wapi nimemfananisha Jide na Wema wakati nimesema kabla kwamba tatizo la JF hawaangalii matatizo ya kujitakia kama ya akina Wema au yale ya ajali kazini kama ya akina Jide!! Mie na uzee wangu huu siwezi kumkejeli Jide kwa mkasa wake hata kidogo ndo maana sikutaka kuchangia kabisa! Mjadala wa Jide ambao niliushikia bango ni wa kuachana na Gardner!! Na si kwamba nilikuwa nafurahia kuachana kwao bali niliamini pamoja na matatizo yote ya Gadner, lakini bado Gadner alikuwa muhimu sana kwa shughuli za Jide... Hii tasnia naifahamu vizuri na naifahamu influence ya Gadner kwenye hii tasnia. Kwahiyo niliona Jide kama alipoteza hususani alipoanza kumpiga vijembe Gadner mitandaoni na watu wote wakawa against Gadner kwa kumuona amezidi u-Mario!!!! Matokeo yake wale wale waliokuwa wanamshabikia Jide ndo hao hao wakaanza kumcheka yalipomkuta!!!!
 
Mada inamuhusu wema, please ikifika wakati wa jide tutamjadili, usitokwe na mapovu boss wako kutolewa vitu nje mwambie ajipange apige kazi na aache sifa za kijinga zitamponza
 
Ndo maana nikasema aliyekuroga ame-RIP!
 
kuna watu humu ukiwauliza kwanini wanamchukia wema! watatoa macho hawana sababu. matatizo humkuta kila mtu aisew

Tunanampenda sana Tanzania sweetheart na kwakuwa ni role mode wa watoto wetu lazima tumpende hatumchukii hata kidogo.
 
Back
Top Bottom