Wema Sepetu, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
binamu soma screenshot hyo dah nimeenda kwa tunda nimeona kapost kavaa shati bila nguo, watu wanamuuliza jumatatu atavaa hivyo? mwingine anamuuliza kama ameshanunua dela la jumatatu au atavaa hvyo dah nimecheka, cwataki watanzania kwa umbea, lol
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo....acha kabisa eti j3 sio mbali
 
Alikufuru sana marafiki na mashabiki uchwara bila kusahau dada wa kujipachika(mange) asiye na haya wanampotosha sana.

Jana kwenda pale kituoni aliona ni kiki tosha ya kupaisha jina lake,leo nadhan atakua anajuta kujipeleka mwenyewe.
Kwani ametulizwa selo mkuu?
 
Huyu bidada angemganda Dangote kipindi kile akatulia na kuwa mke mwema naamini sasa hivi angekuwa yupo Madale anaogelea kwenye swimming pool huku pembeni yake yupo Aunt amemshikia taulo
Alikua anawashobokea waliokuwa wanamtangazia madau ya kumtia kwa million mbili tatu kipindi hicho akasahau kuwa alikua analala ndani na almasi asiyojua thamani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…