Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
ya kutungaNimeikuta insta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ya kutungaNimeikuta insta
ya kutunga
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hope so, wasituharibie uhondo wa arobaini ya nillan
binamu soma screenshot hyo dah nimeenda kwa tunda nimeona kapost kavaa shati bila nguo, watu wanamuuliza jumatatu atavaa hivyo? mwingine anamuuliza kama ameshanunua dela la jumatatu au atavaa hvyo dah nimecheka, cwataki watanzania kwa umbea, lol[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wabongo....acha kabisa eti j3 sio mbalibinamu soma screenshot hyo dah nimeenda kwa tunda nimeona kapost kavaa shati bila nguo, watu wanamuuliza jumatatu atavaa hivyo? mwingine anamuuliza kama ameshanunua dela la jumatatu au atavaa hvyo dah nimecheka, cwataki watanzania kwa umbea, lol
Kwani ametulizwa selo mkuu?Alikufuru sana marafiki na mashabiki uchwara bila kusahau dada wa kujipachika(mange) asiye na haya wanampotosha sana.
Jana kwenda pale kituoni aliona ni kiki tosha ya kupaisha jina lake,leo nadhan atakua anajuta kujipeleka mwenyewe.
Mkuu tumekukosea nini kutuandikia hilo lilugha????
Mama wa mwendo kasi.Mama anatukana mbele ya watoto halafu wala hajishtukii dah [emoji87]
Huu mfano unapaswa kutumika na kwa Lema
Lema akitoka lazima Ajutie makosa yake
naimani alipo ni mdogo zaidi ya Pilitoni
hahaha!!!
Kila bosi na bosiwake
wewe nyang'au naona unaleta mambo ya kisiasa humu nyang'au wwHuu mfano unapaswa kutumika na kwa Lema
Lema akitoka lazima Ajutie makosa yake
naimani alipo ni mdogo zaidi ya Pilitoni
hahaha!!!
Kila bosi na bosiwake
Unacho kitumia weweWewe unatumiaga kiungo gani kufikiria stupidity at it's best level
Polewewe nyang'au naona unaleta mambo ya kisiasa humu nyang'au ww
Wema sialikuwa anaishangilia CCM wacha wafu wazike wafu wao
Ccm na uchafu wa mtuWema sialikuwa anaishangilia CCM wacha wafu wazike wafu wao
Alikua anawashobokea waliokuwa wanamtangazia madau ya kumtia kwa million mbili tatu kipindi hicho akasahau kuwa alikua analala ndani na almasi asiyojua thamani yake.Huyu bidada angemganda Dangote kipindi kile akatulia na kuwa mke mwema naamini sasa hivi angekuwa yupo Madale anaogelea kwenye swimming pool huku pembeni yake yupo Aunt amemshikia taulo
Ni kenge tu ndiyo anayeweza kujaribu kutenganisha CCM na uchafu.Ccm na uchafu wa mtu
wapi na wapi