Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ndio bado yupo kwenye mahojiano. Wanadai analia tu
Kwani ametulizwa selo mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ametulizwa selo mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa alitema Big G kwa karanga za kuonjeshwa, yaani kahongwa Murano lakini hakuridhika eti akafuata benzi tena bila kadi aisee yule mdada anahitaji maombi si bure [emoji1]Alikua anawashobokea waliokuwa wanamtangazia madau ya kumtia kwa million mbili tatu kipindi hicho akasahau kuwa alikua analala ndani na almasi asiyojua thamani yake.
Wale timu vigodoro mbna hawaendi central kumsupport bidada mwenye nyota wa kupendwa na wajingaMama ongea na mwanao,lol
ndo utasutwa, yani wanakupa wiki ya kukusuta tuu kisa umemsema bossylady wao [emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya unayomuambia kwenye team yake utaitwa hater....
Hongera kwa kuwa kengeNi kenge tu ndiyo anayeweza kujaribu kutenganisha CCM na uchafu.
Hivi hajatoka selo jamani au na leo ana lalamo?atalia sana mwaka huu,huu ndo ujio mpya
. ujumbe wao huuatalia sana mwaka huu,huu ndo ujio mpya
Ila inategemea na mama mwenyewe yukoje kitabia.
Ila inategemea na mama mwenyewe yukoje kitabia.
Hadi utakapo jua kuwa wachafu ndo wanapigiwa saruti utakuwa umechelewa sana hata baba ubaya alisemaCcm na uchafu wa mtu
wapi na wapi
Wewe motochini mbona ukujisalimisha kwa polisisiemu utakosa adhabu ya kulipwa fidia Ohooo!! kama mambo ya IPTL imeukumiwa adhabu ya kulipwa $400mil usichezee na kijani hii[emoji216] [emoji216]Hongera kwa kuwa kenge
huyo dogo hajatimiza siku arobaini hadi leo? ......Hope so, wasituharibie uhondo wa arobaini ya nillan
Ila inategemea na mama mwenyewe yukoje kitabia.
huyo dogo hajatimiza siku arobaini hadi leo? ......