Wema Sepetu, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu

Wema Sepetu, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu

Alikua anawashobokea waliokuwa wanamtangazia madau ya kumtia kwa million mbili tatu kipindi hicho akasahau kuwa alikua analala ndani na almasi asiyojua thamani yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa alitema Big G kwa karanga za kuonjeshwa, yaani kahongwa Murano lakini hakuridhika eti akafuata benzi tena bila kadi aisee yule mdada anahitaji maombi si bure [emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya unayomuambia kwenye team yake utaitwa hater....
ndo utasutwa, yani wanakupa wiki ya kukusuta tuu kisa umemsema bossylady wao [emoji38] [emoji38]
 
Team yake kimya kama wamemwagiwa maji mtungini
16464214_1503143479736587_1903204058735312896_n.jpg

atalia sana mwaka huu,huu ndo ujio mpya
. ujumbe wao huu
 
Hongera kwa kuwa kenge
Wewe motochini mbona ukujisalimisha kwa polisisiemu utakosa adhabu ya kulipwa fidia Ohooo!! kama mambo ya IPTL imeukumiwa adhabu ya kulipwa $400mil usichezee na kijani hii[emoji216] [emoji216]
 
Ata kama atalia machozi ya damu. Lazima ashirikiane na polisi kutoa maelezo
 
Nilikuwa masikini sana nikakosa hata nafasi ya kuendelea na masomo,hii ilitokana na umasikini wa wazazi wangu pia.

Baada ya miaka kadhaa nilijiingiza kwenye kilimo cha viazi pale njombe,Hakika Mungu huwa hamtupi mjawake nilipata mafanikio makubwa sana,maisha yangu yalibadirika sana.
Baada ya mwaka mmoja niliamua kujiingiza kwenye biashara ya mbao,sasa hapa ndipo shida ilipoanzia.


Nilipo fanikiwa zaidi niliambiwa natumia uchawi.Nilipokuwa sina kitu nilichekwa sana,nilipoendelea kufanikiwa zaidi na zaidi wakasema Mimi Freemasons ila sasa maneno yanayowatoka nikuwa ni muuzaji wa dawa za kulevya.

Kumbuka nimeanza kilimo 1997_2003 baada ya hapo nikajiingiza kwenye biashara ya mbao.

Swali langu kwenu Watanzania kipi mwanadam akifanye ili muone mafanikio anayoyapata ni ya halali?

Hakika watanzania wana hila mbaya na asilimia kubwa kuiona pepo itakuwa ni ngumu.

Jamani tufanye kazi kwa bidii,tuache mijadala isiyokuwa na tija mitandaoni.Kila siku kujadiri watu na Mali zao huu ni upunguani kwa kutupwa.

Asanteni sana
 
Back
Top Bottom