Wema Sepetu, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu

Sasa sisi tutajuaje kama wewe sio mchawi kweli au muuza unga? mfyuuu ebu tupishe shetani wewe

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Huu mfano unapaswa kutumika na kwa Lema
Lema akitoka lazima Ajutie makosa yake
naimani alipo ni mdogo zaidi ya Pilitoni
hahaha!!!
Kila bosi na bosiwake
Wewe ata ukienda kunya unawaza siasa.
 
Akakae jela miaka 15 tu, akitoka huko mat.ako yote yameisha na hatawashwa tena, sbb anawashwa sana na tigo huyo Wema chizi sana
 
Karucee....haiwezekani wewe ulikuwa spaner boy[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Kimono so mchezo
 
Kuna jina PM alilitaja juzi "Director Joan" kama una mfollow WS IG, alikuwa anapost picha sana yupo na huyo Director Joan. Labda hawa ndio aina ya marafiki ambayo mtoa uzi anasema.

Hao ndio kina nani? Interesting
 
Makonda namsifu kwa hili. ...hakuna jamii inayoendelea kwa biashara ya kuuza unga. ...hakuna Taifa linalostawi kwa kusimama kwenye misingi ya uongo
 
Unapasua lugha ya malkia kuliko malkia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Unajaribu kumuelimisha Madame anayelazimisha jina lake lisipotee masikioni mwetu
wala. am thinking out loud.

kumuelimisha wema inahitaji divine intervention.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…