mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
kabis,ndo hao binamu,ebu niambie hizo sura zmekaa kijambaz ndo rafik za wema
Umemaliza kabisa Binamu [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabis,ndo hao binamu,ebu niambie hizo sura zmekaa kijambaz ndo rafik za wema
Sasa sisi tutajuaje kama wewe sio mchawi kweli au muuza unga? mfyuuu ebu tupishe shetani weweNilikuwa masikini sana nikakosa hata nafasi ya kuendelea na masomo,hii ilitokana na umasikini wa wazazi wangu pia.
Baada ya miaka kadhaa nilijiingiza kwenye kilimo cha viazi pale njombe,Hakika Mungu huwa hamtupi mjawake nilipata mafanikio makubwa sana,maisha yangu yalibadirika sana.
Baada ya mwaka mmoja niliamua kujiingiza kwenye biashara ya mbao,sasa hapa ndipo shida ilipoanzia.
Nilipo fanikiwa zaidi niliambiwa natumia uchawi.Nilipokuwa sina kitu nilichekwa sana,nilipoendelea kufanikiwa zaidi na zaidi wakasema Mimi Freemasons ila sasa maneno yanayowatoka nikuwa ni muuzaji wa dawa za kulevya.
Kumbuka nimeanza kilimo 1997_2003 baada ya hapo nikajiingiza kwenye biashara ya mbao.
Swali langu kwenu Watanzania kipi mwanadam akifanye ili muone mafanikio anayoyapata ni ya halali?
Hakika watanzania wana hila mbaya na asilimia kubwa kuiona pepo itakuwa ni ngumu.
Jamani tufanye kazi kwa bidii,tuache mijadala isiyokuwa na tija mitandaoni.Kila siku kujadiri watu na Mali zao huu ni upunguani kwa kutupwa.
Asanteni sana
Wewe ata ukienda kunya unawaza siasa.Huu mfano unapaswa kutumika na kwa Lema
Lema akitoka lazima Ajutie makosa yake
naimani alipo ni mdogo zaidi ya Pilitoni
hahaha!!!
Kila bosi na bosiwake
Karucee....haiwezekani wewe ulikuwa spaner boy[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Kimono so mchezoSometimes nikimuangalia she is the exact definition of a candle that burneth beneath the table.
She is a beauty no doubt.
What went wrong after 2006 when she was crowned Miss Tz? Did all the glory and city lights sedate her to an extent she became a zombie and never did anything sensible out of her own free will after that?
Hao ndio kina nani? InterestingKuna jina PM alilitaja juzi "Director Joan" kama una mfollow WS IG, alikuwa anapost picha sana yupo na huyo Director Joan. Labda hawa ndio aina ya marafiki ambayo mtoa uzi anasema.
![]()
Uachwe kisa unashangilia CCM. ...mnacheza nyieWema sialikuwa anaishangilia CCM wacha wafu wazike wafu wao
Ila inategemea na mama mwenyewe yukoje kitabia.
hahaaaa. uchokozi huo mkuu.Karucee....haiwezekani wewe ulikuwa spaner boy[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Kimono so mchezo
Unapasua lugha ya malkia kuliko malkia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hahaaaa. uchokozi huo mkuu.
wala. am thinking out loud.Unapasua lugha ya malkia kuliko malkia[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unajaribu kumuelimisha Madame anayelazimisha jina lake lisipotee masikioni mwetu
Kwetu Songagwegwe tunasema sikio la kufa halisikii dawa....a little too late to make any substatial changeswala. am thinking out loud.
kumuelimisha wema inahitaji divine intervention.
😀 ndo wapi huko?Kwetu Songagwegwe tunasema sikio la kufa halisikii dawa....a little too late to make any substatial changes