Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 6,696
- 6,734
Kwetu uzaramuni....kaaazi kweli kweliKwetu Songagwegwe tunasema sikio la kufa halisikii dawa....a little too late to make any substatial changes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwetu uzaramuni....kaaazi kweli kweliKwetu Songagwegwe tunasema sikio la kufa halisikii dawa....a little too late to make any substatial changes
Kuna mashekh wale wa zanziba wanaenda mwaka wa 3 huu,Waruni
Mtu atawekwaje ndani miaka miwili au mitatu hivi kama unavyosema. Unajua natural Justice ni nini?
Makonda hawezi akawa yeye investigator, prosecutor, na kutoa judgement mwenyewe.
Huu mfano unapaswa kutumika na kwa Lema
Lema akitoka lazima Ajutie makosa yake
naimani alipo ni mdogo zaidi ya Pilitoni
hahaha!!!
Kila bosi na bosiwake
Sikutegemea kama kuna kundi la vijana mazuzu ambalo ni Kubwa sananaona hii thread imezgaa instagram watu wanatoaje mapovu,lol
Naona hiyo miaka 2 imewauma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaaa ah aaah naona msg imewafikia walengwa, warumi aka bbc ya ulimwengu
Hao ndio kina nani? Interesting