Wema sepetu atamani afe kisa mitandao ya kijamii

Pole dada yangu wema tatizo mtafuta makiki kupitia majina ya watu mange kimambi kutwa kukusakama

Pole dada wema. mange kaona umarufu wake umeshuka kwa kas hivyo kaona ajikwamue kupitia jina lako na wapuuz wanaendelea kumshangilia

Yesu ni mwema dada yote yatapita
 
Nashangaa mie! kipi cha ajabu... huwezi ukasifiwa tuuu siku zote lazima utukanwe, usemwe vibaya na usingiziwe pia, hizo ndio tamu na chungu za supastaa kama wewe Wema! Endelea na maisha yako linaloongelewa kama sivyo lilivyo achana nalooo... Kumkufuru Mungu ni dhambi.
 
Maamuzi mazuri ni yale ambayo huwezijuta hapo baadae kwa iyo jiulize umefanikiwa?
 

Nani kakuambia mange ndo anaemsakama?
 
Kwani analazimishwa. Unathani social media ni chakula ebu kua mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…