officialnahya
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 101
- 246
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lipandikiziwa aliyekamatwa kabisa ni agnes masogangeAtarudi tuu,chezea kipisi cha ndumu na sheria ya sasa ya dawa za kulevya!!!!!
Daahh si unaacha kujipost tuu karaha ya nn sasa
Pole dada yangu wema tatizo mtafuta makiki kupitia majina ya watu mange kimambi kutwa kukusakama
Pole dada wema. mange kaona umarufu wake umeshuka kwa kas hivyo kaona ajikwamue kupitia jina lako na wapuuz wanaendelea kumshangilia
Yesu ni mwema dada yote yatapita